Kwa hiyo blog au sijui application ya simu aliyoizindua Nape na kuisifia sana ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaeleza (kuwaupdate) Watz mambo kama haya!?
Weaving za nywele halisi za binaadam na sio plastics
Idris ndiye nani?Ni ukweli, kama huamini kamwulize Idris
Ugomvi wangu uko kwenye neno 'weaving'.
Hayo madubwasha hayaitwi hivyo.
What part of speech is the word 'weaving'?
Aaaah mkuu....Mambo mengine tunafanyaga kwa mazoea tu...Kinachomaanishwa ni "Weaving hair".....So kibongobongo tunakatisha tu kuita weaving....Maisha yanakwenda
hihihihihihiihiHuo mdomo wa huyo mtoto umekaa kama naniliu vile