Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Kwa hiyo blog au sijui application ya simu aliyoizindua Nape na kuisifia sana ilikuwa ni kwa ajili ya kuwaeleza (kuwaupdate) Watz mambo kama haya!?

Mkuu sio kila muda watu wanahitaji taarifa za kukamatwa kwa sukari tu...Vitu vingine vipo duniani kama burudani kwa wenye interest zao....Na sio kila inayoitwa burudani itaonwa burudani na kila mtu...Wapo kina Nifah wengi sana watakaoidownload hiyo app.....Japo wapo pia "masela wa JF" wale wanaojitia wagumu JF wakati kutwa wanashinda page za kina shilole na wema...So hiyo app ni kama za kina kim na wengineo
 
IMG-20150622-WA0009.jpg
IMG-20150622-WA0009.jpg
wemast.jpg

kwa nywele zipi labda alizonazo hizi hahahahahahahahaha akawadanganye makwao unyaturuni
 
Oky,anaingiza bei gani?,atupe mchanganuo wa mapato yake pia,TRA wawe karibu for tax purposes
 
Tumesikia BLOOD DIAMOND, na sasa wizi wa nywele umekithiri duniani especially India na Brazil msichana anakatwa nywele kibabe na kwenda kuziuza kiwandani.
Naona niite Blood Hair.

Hapo ni kuendeleza wizi wa nywele uzidi kushamiri kwa demands za watu kama hawa [emoji107]
 
Aweke wazi mapato yake na vyanzo halali vya mapato hayo, siyo kukurupuka tu na kuanza kutaja matumizi makubwa hewa.
Kama haiwezekani basi aanze upya kusoma vitabu vya hesabu akianza na vile vya DRS IV
 
Back
Top Bottom