miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Haaaaaa lol mjini kugumu jamaniAtuondokee hapa na sifa zisizo na tija. Niliwahi kuwakuta American Nails salon, ndiko wanakoenda mara nyingi, pamoja na kidoti, ana deni la 1.8m na mwenye laki 7. akapunguza laki 3 mwenzie akasema atakuja kupunguza siku nyingine.
nilibaki nashangaa. star mzima unakopa mpaka zaidi ya 1m kwa ajili ya urembo...?? hicho kumbwa elf 50 kwa wiki kinakula nini? Usanii mpaka kwenye maisha yao ya kila siku.
Haaaaaa hata kidogopapuchiii
Ni weave kama ulivyosema. Sasa sijui kwa nini watu husema weaving....
kadinda lazima atakuwa anajua tu maana yule ndyo kuwadi mkuu wa huyu mwanamkeKabla ya kuchangia, mwenye information za source of income za huyu mtu aje atueleze