Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Wema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu

Atuondokee hapa na sifa zisizo na tija. Niliwahi kuwakuta American Nails salon, ndiko wanakoenda mara nyingi, pamoja na kidoti, ana deni la 1.8m na mwenye laki 7. akapunguza laki 3 mwenzie akasema atakuja kupunguza siku nyingine.
nilibaki nashangaa. star mzima unakopa mpaka zaidi ya 1m kwa ajili ya urembo...?? hicho kumbwa elf 50 kwa wiki kinakula nini? Usanii mpaka kwenye maisha yao ya kila siku.
Haaaaaa lol mjini kugumu jamani
 
Wise kweli vidole havinlingani, mwingine hiyo milioni t kuipata mpaka apokee mshahara ndani ya miezi kadhaa, yeye pa wiki, kweli watu wanahela
 
Anafanya biashara gani ya kumuingizia pesa nyingi kiasi cha kua na matumizi hayo kwenye nywele tu
 
huyo dada tumeshamzoea na fiks zake ipo siku atasema anatumia milion 2 to take care her booty
 
Hiyo ya chakula 30, 000 ni ya kawaida sana.

Hata watu wa kawaida tu tunatumia hiyo daily.
 
Kabla ya kuchangia, mwenye information za source of income za huyu mtu aje atueleze
 
Kwa chakula 30,000 ni sawa ila kwa nywele duuh hiyo ni kufuru yan mm nasuka rasta 20,000 nakaa nazo mwz asa nikigawanya hiyo ya wema cjui nitasuka miaka mingapi!kweli tunatofautiana
 
Huyo kodi ya nyumba ilimshinda anakuja na ngonjera zake.....mwenye uwezo huwa anasema kwa vitendo sio mdomo
 
Back
Top Bottom