Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Mkuu sikuoni jukwaa la ajira tena, ushapata kitengo? 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi kwa vipi, unajua wasanii wana thamani kuliko madaktari, maprofesa etcKaweke huu upumbavu jukwaa la utani.
Tatizo liko wapi, it is a matter of kujikomba! Kuna tofauti gani na yule wa musoma? Wote wa ni kujikomba! It is possible, tena sanaWema muuza nyago nae ni mtu wakufikilisha watu aliye kutuma mwambie aje mwenyewe
lol.....Inasemekana Mwanadada Wema Abraham Sepetu ndiye Mkuu wa wilaya mpya ya Kigamboni.
Kada huyo kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi anatajwa kuwa Shughuli za Kuapishwa ziko mbioni kwani Taratibu zote zimeshakamilika.
Wema Sepetu ataungana na Uteuzi uliyofanywa mapema Juma hili ukiusisha aliyekua Mjumbe wa katiba ya wananchi Humphrey Polepole na Ally Hapi.
Vijana hawa wanatajwa kuwa na Mchango mkubwa wakati wa Kampeni za Uchaguzi na Chama kimejizatiti kutowapoteza Mathalani Wema Sepetu ambaye mara nyingi alisafiri Nchi nzima akiwa na Makamo wa Rais Bi Samia Suluhu wakati wa Kampeni.
acha ujumla kwenye vitu vya msingi! Unaweza kuwa padri ukawa raisUpuuzi kwa vipi, unajua wasanii wana thamani kuliko madaktari, maprofesa etc
Eeeka Mbe.. Mungu ni mwema kweli..Nilishapata aika Mbee!
Sijakuelewa ujumla kwa vipi kutoka andiko languacha ujumla kwenye vitu vya msingi! Unaweza kuwa padri ukawa rais
unaweza kuwa msanii ukawa rais
ni mifano tu ila kwa kila sekta anaweza kutokea mtu anayeweza kuongoza sekta zote
Eh Mungu epusha asije akateuliwa sijui nitafanya nini jamani?Serikali ya JPM haina nafasi za watu sample ya wema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] so funnyupuuzi.com yani jitu failure la maisha lenye makalio marefu kama jani la mgomba liteuliwe, ntavua nguo !
andiko lako linaonesha msanii ananafasi kubwa ya kuwa kiongozi ila mimi namaanisha kiongozi kwa ujumla hasa ni kwa kuzaliwa au very trained haijalishi anatoka kwenye fani ganiSijakuelewa ujumla kwa vipi kutoka andiko langu
Polepole ata kama amejikomba lkn huwezi mfanansh na muuza nyago pia polepole uwezo anao kiutendaji records zinaonesh sio sawa na uyu muuza suraTatizo liko wapi, it is a matter of kujikomba! Kuna tofauti gani na yule wa musoma? Wote wa ni kujikomba! It is possible, tena sana
OK, nimekupata, hapana sikuwa na maana hiyo. Nasema kwa nchi yenye usanii kama hii msanii ana nafasi kubwa ya kusikilizwa na rais kuliko professionals! Si uliona selfie za mkubwa aliyetoka,andiko lako linaonesha msanii ananafasi kubwa ya kuwa kiongozi ila mimi namaanisha kiongozi kwa ujumla hasa ni kwa kuzaliwa au very trained haijalishi anatoka kwenye fani gani
Vigezo ni kujikomba!Polepole ata kama amejikomba lkn huwezi mfanansh na muuza nyago pia polepole uwezo anao kiutendaji records zinaonesh sio sawa na uyu muuza sura