Wema Sepetu ndiye Mkuu Wilaya Mpya ya Kigamboni.

Mkuu sikuoni jukwaa la ajira tena, ushapata kitengo? 😀😀
 
Wema muuza nyago nae ni mtu wakufikilisha watu aliye kutuma mwambie aje mwenyewe
 
Wema muuza nyago nae ni mtu wakufikilisha watu aliye kutuma mwambie aje mwenyewe
Tatizo liko wapi, it is a matter of kujikomba! Kuna tofauti gani na yule wa musoma? Wote wa ni kujikomba! It is possible, tena sana
 
lol.....
 
Upuuzi kwa vipi, unajua wasanii wana thamani kuliko madaktari, maprofesa etc
acha ujumla kwenye vitu vya msingi! Unaweza kuwa padri ukawa rais
unaweza kuwa msanii ukawa rais
ni mifano tu ila kwa kila sekta anaweza kutokea mtu anayeweza kuongoza sekta zote
 
Rais wangu si mpuuzi mpaka afanye kitu kama hicho.
 
acha ujumla kwenye vitu vya msingi! Unaweza kuwa padri ukawa rais
unaweza kuwa msanii ukawa rais
ni mifano tu ila kwa kila sekta anaweza kutokea mtu anayeweza kuongoza sekta zote
Sijakuelewa ujumla kwa vipi kutoka andiko langu
 
She Prayed Vital Role pale wakina Hawa Ghasia walipokua wamemkimbia Samia Suluhu The hated one deserves what the President has Given her.
 
Sijakuelewa ujumla kwa vipi kutoka andiko langu
andiko lako linaonesha msanii ananafasi kubwa ya kuwa kiongozi ila mimi namaanisha kiongozi kwa ujumla hasa ni kwa kuzaliwa au very trained haijalishi anatoka kwenye fani gani
 
Tatizo liko wapi, it is a matter of kujikomba! Kuna tofauti gani na yule wa musoma? Wote wa ni kujikomba! It is possible, tena sana
Polepole ata kama amejikomba lkn huwezi mfanansh na muuza nyago pia polepole uwezo anao kiutendaji records zinaonesh sio sawa na uyu muuza sura
 
andiko lako linaonesha msanii ananafasi kubwa ya kuwa kiongozi ila mimi namaanisha kiongozi kwa ujumla hasa ni kwa kuzaliwa au very trained haijalishi anatoka kwenye fani gani
OK, nimekupata, hapana sikuwa na maana hiyo. Nasema kwa nchi yenye usanii kama hii msanii ana nafasi kubwa ya kusikilizwa na rais kuliko professionals! Si uliona selfie za mkubwa aliyetoka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…