Huyu si ndye alikuwa akikwiba umeme wa Tanesco. Ila mimi nilijua kama hatakuwa mbunge wa kupachikwa basi mku wa wilaya au mkoa maana kipind cha uchaguz ikulu ilikuwa kama hoteli kwake.
OK, nimekupata, hapana sikuwa na maana hiyo. Nasema kwa nchi yenye usanii kama hii msanii ana nafasi kubwa ya kusikilizwa na rais kuliko professionals! Si uliona selfie za mkubwa aliyetoka,
kwani makalio ya wema au ku fail kwake kimaisha hafai kuwa mkuu wa wilaya?kama ni hivo vipi majizi yalio ibia serikali,na bado yamepewa post mpya.Au una umeamua tu kukereka na makalio yake?