Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Huyu si ndye alikuwa akikwiba umeme wa Tanesco. Ila mimi nilijua kama hatakuwa mbunge wa kupachikwa basi mku wa wilaya au mkoa maana kipind cha uchaguz ikulu ilikuwa kama hoteli kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekupata mkuu! Umenifanya siku zangu ziende kwa furahaOK, nimekupata, hapana sikuwa na maana hiyo. Nasema kwa nchi yenye usanii kama hii msanii ana nafasi kubwa ya kusikilizwa na rais kuliko professionals! Si uliona selfie za mkubwa aliyetoka,