Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

Munaluv ndio ka peleka mchupi wa Wema Sepenga Tanga kwa Mganga.
Bongo bhana full watindiga yaani hata sauti zao haziwasitiri kuficha nyuchi zao
Braza samahani nauliza hivi huyo jamaa kwenye Avatar ni ndugu yako?
 
dah aisee inaonekana dada u mrembo sana
 
Nisharudia rudia sana huyu, hana ladha kabisa sasa hivi.. scraper tu
 
ifikie tym sasa wema akili yake iconcentrate kweny kupata mtoto, huyo pekee ndo atayempa faraja ya maisha yake yaajabu kuwahi kushudua tangu nlipopata akili timamu,
caution: asichoke sana sana mana naona hata gushape gunazidi kufa taratibu.
 
Mkuu Idrissa kafilisika zile $300,000 zimeisha..?[emoji15] [emoji15]
Shemeji, idd mbona alishavunja kibubu zamani tu, wema alikua anajifanya anashinda kw idd wanalea watoto sijui walikua wanaazima wapi hao watoto ha ha ha hadi hela zimeisha idd hajanunua hata toyo lol
 
Bila shaka huku nimepotea njia samahani wapendwa ngoja niondoke zangu...
 
in the first place
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…