Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

Aaaahh!! Hadi sigara? Basi huyu anatakiwa kufanyiwa maombi
1478634696148.png
 
Kwa hiyo karogwa?

Hahahaa...akili ndogo wana matatizo sana.

Ndio hivyo akiona mambo yake yanazidi kushuka, lazima aseme lake. Na hivi sasa mshamba Muna anaendelea kimaisha kwa kusaka noti ni amemloga.

Ha ha haaaaaa mie nacheka tu, nizidi kuonekana nina umri mdogo.
 
Bahati mbaya huko sijui hata kunafananaje...
Yaani Siku ukikuonjaa huko Instaaa Utapakimbia Hapa..ukaone NA kawimbo alikoimbiwa mkulu NA Makondakta NA mkewe Siku ya Hepibethideiiiiii.Yaani full mamixer!!
 
Clouds FM kuna E~News?

[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]

Mkuu me mwnyew nmeshangaa inakuaj Clouds kuna Enewz na kama ni Enewz ya EATV me nafatlia sana sijaona taarifa ya hivo

Jamaa cjui mwongo......
 
Kila mtu anamuogopa nani anataka ushoga wakuja kuanikana IG
Sasa hivi kila mtu na mtoto wake kuanzia snura,kajala,aunt mpaka Muna
Kwahyo wema na midoli au maana I knw hana mtoto
 
Bado sana Mkuu anaendelea kutumika hata wewe bado sana kufikia level za kumtumia.

si unaona kina Idrissa wamemtumia mpka wamefilisika wamekimbizwa watakuja wengine tena yaan bado sana anatumika
Sasa anawafilisi kwa matumizi au?maana simuoni kama anatajirika
 
Back
Top Bottom