Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ndio mkuu anatumia mda, pombe Kali na kuvuta sigara juuDiva, unamaanisha Wema anatumia dawa za kulevya!!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu anatumia mda, pombe Kali na kuvuta sigara juuDiva, unamaanisha Wema anatumia dawa za kulevya!!!!?
Kwani wamegombania nini?
Aaaahh!! Hadi sigara? Basi huyu anatakiwa kufanyiwa maombiNdio mkuu anatumia mda, pombe Kali na kuvuta sigara juu
Wema asipojiangalia atafuata nyayo za ray c umaarufu umemharibu kichwa na hyo timu yake . Tena maombi ya Wema inatakiwa yawe ya kufunga na kuombaAaaahh!! Hadi sigara? Basi huyu anatakiwa kufanyiwa maombi
Kiudaku
Eti anadai Muna alimwibia pichu akaipeleka kwa mganga kumroga...
Ni Huyo Mbibi kuliko woteYupi ni wema kati ya hao kwenye picha?
Aaaahh!! Hadi sigara? Basi huyu anatakiwa kufanyiwa maombi
Nenda Instagram Kuna full doseKwani wamegombania nini?
Nenda Instagram Kuna full dose
Kwa hiyo karogwa?
Hahahaa...akili ndogo wana matatizo sana.
Yaani Siku ukikuonjaa huko Instaaa Utapakimbia Hapa..ukaone NA kawimbo alikoimbiwa mkulu NA Makondakta NA mkewe Siku ya Hepibethideiiiiii.Yaani full mamixer!!Bahati mbaya huko sijui hata kunafananaje...
Gari halijawaka bado subiri uwezo wa brazil uishe aanza dona ndio wa rehabu watajitokeza!Sidhani kama kuna uhitaji wa kuwa daktari kugundua Wema ni mgonjwa wa Kichwa na anahitaji kupelekwa rehab...
Clouds FM kuna E~News?
[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
Sasa wewe kama watu wa dar wanapelekeana chupi kwa mganga...ivi uko dar kuna nn mbona watu wa uko akili zao za ajabu ajabu
Kwahyo wema na midoli au maana I knw hana mtotoKila mtu anamuogopa nani anataka ushoga wakuja kuanikana IG
Sasa hivi kila mtu na mtoto wake kuanzia snura,kajala,aunt mpaka Muna
Sasa anawafilisi kwa matumizi au?maana simuoni kama anatajirikaBado sana Mkuu anaendelea kutumika hata wewe bado sana kufikia level za kumtumia.
si unaona kina Idrissa wamemtumia mpka wamefilisika wamekimbizwa watakuja wengine tena yaan bado sana anatumika
Wa mkoa ndo ivyo bana huku kwetu tunakaa watu wa komed komed soon karibia mji mzima utakuwa orijino komedivi uko dar kuna nn mbona watu wa uko akili zao za ajabu ajabu