Mkuu samahani lulu anamiliki biashara gani? Au unamaanisha Efm ya majizo?Wema ujanja wako mjini ni nini? Kama ni ustar mbona hauna class? Watoto wadogo waliotoka mikoani wamengia mjini wengi wao walikuja kujiunga na UDSM sasa wamemaliza shule, wanafanya kazi, bado jioni utawakuta Mlimani City wakielekea UDSM wanafanya post graduate zao evening classes, wale tunaweza kuwaona wajanja.
Hata Lulu tunaweza kumuoana mjanja, anamiliki biashara, hana magroup ya marafiki wala siri zake hazivuji ovyo. Wema angalia wapi unakosea ujirekebishe, kiburi si uugwana.