Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

Wema Sepetu: Niliuweka pembeni "u-star" wangu ili kuwa na Munalove,lakini ushamba wake umenishinda

Wema ujanja wako mjini ni nini? Kama ni ustar mbona hauna class? Watoto wadogo waliotoka mikoani wamengia mjini wengi wao walikuja kujiunga na UDSM sasa wamemaliza shule, wanafanya kazi, bado jioni utawakuta Mlimani City wakielekea UDSM wanafanya post graduate zao evening classes, wale tunaweza kuwaona wajanja.

Hata Lulu tunaweza kumuoana mjanja, anamiliki biashara, hana magroup ya marafiki wala siri zake hazivuji ovyo. Wema angalia wapi unakosea ujirekebishe, kiburi si uugwana.
Mkuu samahani lulu anamiliki biashara gani? Au unamaanisha Efm ya majizo?
 
Munaluv ndio ka peleka mchupi wa Wema Sepenga Tanga kwa Mganga.
Bongo bhana full watindiga yaani hata sauti zao haziwasitiri kuficha nyuchi zao
Unalitamka hilo lichupi, halafu nikipicture na mtako ule mpaka magotini, inaonyesha alivyouiba aliupigilia kwenye bag, maaana kwenye handbag lazima ungetokeza tu huo mchupi.
 
Munaluv ndio ka peleka mchupi wa Wema Sepenga Tanga kwa Mganga.
Bongo bhana full watindiga yaani hata sauti zao haziwasitiri kuficha nyuchi zao
Ndia anajiita Munamachu..pi
 
Back
Top Bottom