Wema Sepetu: Nimemsamehe Penny

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ' Penny' , sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Staa wa sinema za Kibongo , Wema Sepetu. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema alisema : "Kwa moyo mweupe , nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote nitasalimiana naye kama kawaida .

Nimeamua kuachana na yote, mimi ni bintiwa Kiislam na nahitaji sana swaumu yangu ipokelewe vyema kwa Mungu .Kwa upande wa Penny alifunguka : "Siwezi kusema nitamchukia Wema ila nimekubali matokeo , sina tatizo naye tena ingawa najua hatuwezi kuwa marafiki tena kama zamani,lakini yaliyopita yameshapita ."

Wema na Penny walikuwa na bifu kwa muda mrefu, chanzo kikiwa Penny kuingilia uhusiano wa Wema kwa Mwanabongo Fleva ,Nasibu Abdul ' Diamond ' .
 
Kwani yeye ni barabara au mtoa ugali tuseme asipomsamehe hali hatembei haendi choo.
Walimtukana weeee.
Mijitu mingine bwana kujiona mungu watu.
Wanaume wenyewe wa mjini kila mtu analala naye.
Atagombana na wangapi???
#he he he kantangaze

geree tu
 
Mnnnnhhhhhh

Embu fikiria alivyonzalilisha kwenye simu,jukwaani magazetini,sporah show.
Katembea na mashosti wake wote.
Haya toka awe naye hana hata dollar.
Kafulia mbaya mwenzake anapanda tu.
Huyu wwma sikio la kfa.
#mwenye kiranga haliliwi.
 
Embu fikiria alivyonzalilisha kwenye simu,jukwaani magazetini,sporah show.
Katembea na mashosti wake wote.
Haya toka awe naye hana hata dollar.
Kafulia mbaya mwenzake anapanda tu.
Huyu wwma sikio la kfa.
#mwenye kiranga haliliwi.

Dahh kwakweli hii ni balaa
 
Embu fikiria alivyonzalilisha kwenye simu,jukwaani magazetini,sporah show.
Katembea na mashosti wake wote.
Haya toka awe naye hana hata dollar.
Kafulia mbaya mwenzake anapanda tu.
Huyu wwma sikio la kfa.
#mwenye kiranga haliliwi.

Mwenzie penny ana kazi yake maisha yanaendelea, ye kazi kutafutafuta sifa za kijinga na kujipendekeza kwa mama ndomo, badala lifanye kazi, ata ndomo angemuheshimu, sasa ivi anamuona mlupo tu usiojitambua
 
Yani mama ubaya anajionaga yeye ndo yeye.Yani silipendi basi tu

Angetulia afanye mambo ya maana angekua mbali sana yaan sema team zake zinamsapoti ujinga sana ndio.maana ndio maana analewa sifa na kujikuta yeye ndio yeye!
 

Ha ha ha yule mjanja bwana.....sema nae anazidi kukauka jaman!!!Nuru ya kyln inapotea sijui kwann wakati ana pesa za kutosha tu!!!
 
Last edited by a moderator:

Usiniambie anashusha shule...

Acha nizichange aisee

Huyo ndo mwenye akili... hakutaka kuhangaika na masharo uharo wangemzeesha tu buuuure

Mama ndomo angetulia na ck amchuneeeeee hata kesho na keshokutwa angekua na pakuanzia...

Anyway zile wema products ni za nani? (Sabuni na disinfectants za kusafishia tiles na choo) nilipoziona nikahisi za mrs ndomo ila sidhani kama ana akili hiyo...
 
Last edited by a moderator:
Aibu kwani kidogo

Mtu mzima unapewa za uso...

Sema mshipa wake wa aibu umekatika yule....

Na yule anayeweza kweli, we mtu vichambo vyote vile tena vya haja mtu bado anapata nguvu za ku post instagram mmh kweli mange ni mafia, sio jambaz kwel hili, maana kuna siku nilisikia saut yake nusu nikimbie alivyokuwa na mbezi
 

Wema products? Mmh sidhan kama ni za huyu mama ubaya maana tungejua kabla hata hazijatoka kwa promo za misukule wake kule insta

Huyu mama ubaya atakuwa karogwa, yani kumpata yule zumbu kuku clement yeye cha maana alichokifanya ni safar za dubai na china na kufanya shopping za mil 200, yani wema ana pepo la sifa za kijinga, aya sasa hizo shopping za dubai sasa ivi anazisikia tu kwenye mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…