Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ingetakiwa awe mbali sasa domo akimpiga chini sijui itakuwaje anaendekeza sana ushosti kuliko ku focus future bora domo yeye ana mkumbuka mamaake sasa umri unaenda nothing to show
Amsamehe chumbani bila akina warumi na shigongo kujua? Labda sio mama ubaya huyu ninayemjua sie, ivi binamu ALBADILI yao iliishia wapi maana walisema siku saba wiki ya pili sasa inakatika kimyaa
Kipindi kile kabla hajawa na mengi alikuwa anavaa chupi ya 220,000 he he sipati picha sasa hivi.
Kudadadeki
DODO Ndo nini tena binamu unanipa kazi ya kugoogle ujue
Mwenzie penny ana kazi yake maisha yanaendelea, ye kazi kutafutafuta sifa za kijinga na kujipendekeza kwa mama ndomo, badala lifanye kazi, ata ndomo angemuheshimu, sasa ivi anamuona mlupo tu usiojitambua
Wema products? Mmh sidhan kama ni za huyu mama ubaya maana tungejua kabla hata hazijatoka kwa promo za misukule wake kule insta
Huyu mama ubaya atakuwa karogwa, yani kumpata yule zumbu kuku clement yeye cha maana alichokifanya ni safar za dubai na china na kufanya shopping za mil 200, yani wema ana pepo la sifa za kijinga, aya sasa hizo shopping za dubai sasa ivi anazisikia tu kwenye mitandao
Hilo nalo neno binamu maana yule nae kijeba kiama, toka enzi za nalia machozi ya furaha na bushoke had leo yupo vile vile, mmh mwenzenu atumii DODO yule binamu, vipodoz vyake anashindana na akina beyonce sasa akina mama mwajuma ndala ndefu kutwa caro light uso umezeeka kabla ya mwili
Hapa tu ndio huwa nakuaminia mshikaji,data zote za town unazo, na michambo ya uswahili ndo usiseme lol! warumi bado yuko kifungoni?
Umenikumbusha binamu warumi nadhan atakuwa kashaachiwa ngoja nika log in nione kama bado nipo kifungoni aiseh basi watakuwa wameniweza maana hawa ma mods hata hawaaminik usikute ndo tunaochambana nao humu kila siku
Ye wema mbona mwizi tu,kwan Penny alimkosea ninii mpaka amsamehee nyoooooo zakee
Huyo penny ana mda na mama ubaya sasa? Au wema anataka kujipendekeza,kwanza penny sio mswazi na mvivu kama mama ubaya, hatutak amuambukize penny mitabia yake michafu
umeonaah!afu nshajua wema anasafiria nyota za wenzie!