Wema Sepetu: Nimemsamehe Penny

Wema Sepetu: Nimemsamehe Penny

Basi sijui zitakua za nani hizo products

Ika namhurumia sana wema... akija kushtuka tayari too late..na ndomo mwenyewe atammwaga maana ndomo anatafuta kick tu

Wema products? Mmh sidhan kama ni za huyu mama ubaya maana tungejua kabla hata hazijatoka kwa promo za misukule wake kule insta

Huyu mama ubaya atakuwa karogwa, yani kumpata yule zumbu kuku clement yeye cha maana alichokifanya ni safar za dubai na china na kufanya shopping za mil 200, yani wema ana pepo la sifa za kijinga, aya sasa hizo shopping za dubai sasa ivi anazisikia tu kwenye mitandao
 
Kwani yeye ni barabara au mtoa ugali tuseme asipomsamehe hali hatembei haendi choo.
Walimtukana weeee.
Mijitu mingine bwana kujiona mungu watu.
Wanaume wenyewe wa mjini kila mtu analala naye.
Atagombana na wangapi???
#he he he kantangaze

Natamani kuongeza milk stout ya tano na kiroba cha burudani wine
 
Basi sijui zitakua za nani hizo products

Ika namhurumia sana wema... akija kushtuka tayari too late..na ndomo mwenyewe atammwaga maana ndomo anatafuta kick tu

Umaarufu alionao wema angekuwa nao jokate, jojo angekuwa mbali sana tena kimataifa, sema mama ubaya akili hana kazi wanaume tu na kucheza vigodoro, hizo products ntazifanyia kazi nione ni kampuni gani
 
Ha ha ha yule mjanja bwana.....sema nae anazidi kukauka jaman!!!Nuru ya kyln inapotea sijui kwann wakati ana pesa za kutosha tu!!!

Jamani ndugu yangu umri nao.
Au umesahau kuwa siku hazigandi?
 
Wema products? Mmh sidhan kama ni za huyu mama ubaya maana tungejua kabla hata hazijatoka kwa promo za misukule wake kule insta

Huyu mama ubaya atakuwa karogwa, yani kumpata yule zumbu kuku clement yeye cha maana alichokifanya ni safar za dubai na china na kufanya shopping za mil 200, yani wema ana pepo la sifa za kijinga, aya sasa hizo shopping za dubai sasa ivi anazisikia tu kwenye mitandao

Kwani si angemsamehe bila kwenda magazetini, huyo naye ovyo
 
Umaarufu alionao wema angekuwa nao jokate, jojo angekuwa mbali sana tena kimataifa, sema mama ubaya akili hana kazi wanaume tu na kucheza vigodoro, hizo products ntazifanyia kazi nione ni kampuni gani

Binamu mie nakumbuka shopping ya mbwa na jumba la 400 m.
Wakati , wenzie ndomo kila akipata lazima amfurahishe mama yake yeye mashosti na kuingia bills kujiita pedeshee wa kike kumwaga hela.
Khaaaa mie najichekea tu hapa.
 
Ha ha ha yule mjanja bwana.....sema nae anazidi kukauka jaman!!!Nuru ya kyln inapotea sijui kwann wakati ana pesa za kutosha tu!!!

sisi tunaona maisha yao ya nje tu binamu, ila bidada ya ndani anayajua yeye, maisha kashayapatia sema ana mzigo mzito sana kaubeba ukilinganisha na umri wake, utakuta ana majanga mazito sana ukilinganisha na tabasamu analolitoa kwa watu, sema wabongo tunaona pesa tu mengine hawayaoni. Hakuna kitu kibaya kama mgogoro wa nafsi, bora uchambane na akina chausiku kule manzese lakini sio mgogoro wa nafsi, unaweza kufa
 
  • Thanks
Reactions: ram
K-lyn mwenyewe njaa tu ndo inamfanya azeeke kabla ya siku zake, we unafikiri hatama kuwa na kijana mwenye musuli kama wangu. Anakufa kibosi na tai shingoni, mkae mkijua kuishi na kizee ni stress tupu. We fikiria kibabu kikivua kaptura ------ yamenyauka kama ugali wa muhogo, na ujue hapo ndo anakufuata wewe kitandani, loh salalee, adhabu gani hiyo?
 
Na yule anayeweza kweli, we mtu vichambo vyote vile tena vya haja mtu bado anapata nguvu za ku post instagram mmh kweli mange ni mafia, sio jambaz kwel hili, maana kuna siku nilisikia saut yake nusu nikimbie alivyokuwa na mbezi

Kah kumbe huwa ana libezi binamu ulimsikia wapi na ana roho ngumu.kweli.maisha yenyewe magumu hataacha kukomaa kweli.na kutafta pesa
 
sisi tunaona maisha yao ya nje tu binamu, ila bidada ya ndani anayajua yeye, maisha kashayapatia sema ana mzigo mzito sana kaubeba ukilinganisha na umri wake, utakuta ana majanga mazito sana ukilinganisha na tabasamu analolitoa kwa watu, sema wabongo tunaona pesa tu mengine hawayaoni. Hakuna kitu kibaya kama mgogoro wa nafsi, bora uchambane na akina chausiku kule manzese lakini sio mgogoro wa nafsi, unaweza kufa

Daaaah ama kweli pesa haiwezi kununua furaha maishani......yaani nuru yote kushiney!!!
 
Jamani ndugu yangu umri nao.
Au umesahau kuwa siku hazigandi?

Hilo nalo neno binamu maana yule nae kijeba kiama, toka enzi za nalia machozi ya furaha na bushoke had leo yupo vile vile, mmh mwenzenu atumii DODO yule binamu, vipodoz vyake anashindana na akina beyonce sasa akina mama mwajuma ndala ndefu kutwa caro light uso umezeeka kabla ya mwili
 
Binamu mie nakumbuka shopping ya mbwa na jumba la 400 m.
Wakati , wenzie ndomo kila akipata lazima amfurahishe mama yake yeye mashosti na kuingia bills kujiita pedeshee wa kike kumwaga hela.
Khaaaa mie najichekea tu hapa.

Ni kweli ingetakiwa awe mbali sasa domo akimpiga chini sijui itakuwaje anaendekeza sana ushosti kuliko ku focus future bora domo yeye ana mkumbuka mamaake sasa umri unaenda nothing to show
 
Kwani si angemsamehe bila kwenda magazetini, huyo naye ovyo

Amsamehe chumbani bila akina warumi na shigongo kujua? Labda sio mama ubaya huyu ninayemjua sie, ivi binamu ALBADILI yao iliishia wapi maana walisema siku saba wiki ya pili sasa inakatika kimyaa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Umaarufu alionao wema angekuwa nao jokate, jojo angekuwa mbali sana tena kimataifa, sema mama ubaya akili hana kazi wanaume tu na kucheza vigodoro, hizo products ntazifanyia kazi nione ni kampuni gani

Poa

Na hupatikana haswa uchumi
 
Binamu mie nakumbuka shopping ya mbwa na jumba la 400 m.
Wakati , wenzie ndomo kila akipata lazima amfurahishe mama yake yeye mashosti na kuingia bills kujiita pedeshee wa kike kumwaga hela.
Khaaaa mie najichekea tu hapa.

Wema sidhan kama anampa mama yake zawadi, labda rav 4 aliloshindaga miss tanzania ndo nilisikia sijui alimuachia mama yake, baada ya viserenget wa mujini kupiga nayo misele had engine ikafa ikapaki kwao sinza kama scraper ndo akamuachia mama yake kama zawadi , chezeya mama ubaya
 
Hilo nalo neno binamu maana yule nae kijeba kiama, toka enzi za nalia machozi ya furaha na bushoke had leo yupo vile vile, mmh mwenzenu atumii DODO yule binamu, vipodoz vyake anashindana na akina beyonce sasa akina mama mwajuma ndala ndefu kutwa caro light uso umezeeka kabla ya mwili

Kipindi kile kabla hajawa na mengi alikuwa anavaa chupi ya 220,000 he he sipati picha sasa hivi.
Kudadadeki
DODO Ndo nini tena binamu unanipa kazi ya kugoogle ujue
 
K-lyn mwenyewe njaa tu ndo inamfanya azeeke kabla ya siku zake, we unafikiri hatama kuwa na kijana mwenye musuli kama wangu. Anakufa kibosi na tai shingoni, mkae mkijua kuishi na kizee ni stress tupu. We fikiria kibabu kikivua kaptura ------ yamenyauka kama ugali wa muhogo, na ujue hapo ndo anakufuata wewe kitandani, loh salalee, adhabu gani hiyo?

Mmh machache ukimchek usoni tu anatisha, uko chini manyanya yalivyosinyaa mmh na anayaweza k-lyn, mwachen atumie pesa maana yanayomkuta chumban anajua yeye
 
Kah kumbe huwa ana libezi binamu ulimsikia wapi na ana roho ngumu.kweli.maisha yenyewe magumu hataacha kukomaa kweli.na kutafta pesa

Kuna kipindi alichukua video camera alikuwa dukan na mtoto wake kenzo, sasa sijui kenzo akawa anamchungulia matak0 sanamu moja ivi aliliona ndo mange akawa anacheka

mweeh hilo lisauti sasa mmh bora tu achambage kwa maneno maana lisauti lake linatisha kama jambaz na anaonekana ana maguvu yule sio wa kumchezeya tu nyie mchambeni tu instagram na kwenye blog yake usiombe mkakutana live yule anakukamua kabisa sio mtu mzuri yan ana mdomo na nguvu anazo, nyie jishaueni kumchamba ngoja awadake uko Mitaani mi ntakuwa na report tu habar kama kawa
 
Back
Top Bottom