BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Basi sijui zitakua za nani hizo products
Ika namhurumia sana wema... akija kushtuka tayari too late..na ndomo mwenyewe atammwaga maana ndomo anatafuta kick tu
Ika namhurumia sana wema... akija kushtuka tayari too late..na ndomo mwenyewe atammwaga maana ndomo anatafuta kick tu
Wema products? Mmh sidhan kama ni za huyu mama ubaya maana tungejua kabla hata hazijatoka kwa promo za misukule wake kule insta
Huyu mama ubaya atakuwa karogwa, yani kumpata yule zumbu kuku clement yeye cha maana alichokifanya ni safar za dubai na china na kufanya shopping za mil 200, yani wema ana pepo la sifa za kijinga, aya sasa hizo shopping za dubai sasa ivi anazisikia tu kwenye mitandao