Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Wema anaojiwa sasa hivi na Gardner G Habash, anasema ni namna gani anammiss Diamond.

"Unajuwa diamond ni mtu tuliyekaa nae miaka mingi sana hivyo kama binadam uwa natokea kummmiss sana".
Anaendelea... "Sometimes uwa naweka nyimbo zake kwenye gari langu sababu pamoja na yaliyo tokea mi ni shabiki na nimefall sana kwake... Najua kuna watu wataichukulia vibaya kwamba oooh oooh amemmiss amemmiss ila mimi nimeamua kuwa honest. Kuna kipindi inanitokea tu nammiss sana unajua kuna vitu tulishea na yale mazoea kwa kweli nammiss ata yeye najua ananimiss ila anajifanya tu.

Nilishawai kumtext lakini hakunijibu, lakini namjua mwenzangu mkishakaa mbali ana zile kupoteza moja kwa moja, unajua mimi sio mswahili na haya mambo kila mtu na IQ yake mimi ata tukiachana tutabaki marafiki ila mwingine unakuta tatizo sijui malezi au IQ sijui. "

Updates

Anazungumzia ishu ya kupata mtoto... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.

Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.

Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.

Source : EFM na Gardner & Bikirawakisukuma
 
Anatafuta kuandikwa na Shigongo Haya Mondi kakusikia subiri jibu
 
Eti nimetoa mimba moja tu....yaani unakana kosa kwa kukiri.... Je kama Mungu alikupa huyo mmoja? Simnyoshei kidole ila ni dhambi aitubu kabisa.... Kama alikuwa Mdogo Kanumba aliingizaje hiyo dudu mpaka ikanasisha Mimba....
Ujinga....ujinga...ujinga
 
Aende zake uko, soko limeshuka akubali matokeo, alitoa mimba sijui akafanyaje ina khusu nini ?
 
Ndio wakati wa magharibi tena huo.....mtu kuwa desparate kwa huu wakati hasa kwa dada zetu si jambo la ajabu!

Sent from JamiiForums
 
Huyo naye ex ka move on analazimisha kuwa ana mmiss pia

Yote haya anatafuta kupata chati kwa kutumia jina la Diamond

Anajuta kwa kumuacha eti sababu alikuwa anaiba nyota yake

Inajulikana kuwa alitoa zaidi ya ya kanumba. Na ya Diamond ndani pia.

Aache kuraguta huruma hachoki...kwani ni yeye tu anayejuta kuacha mwanaume anayepabda kinaisha baada ya kuachana...asepe uko

Diamond umemuacha amekushiti na hataki mawasiliano nawe

Unawivu tu na anachofanya na Zari...tulia na maisha kila siki kujitetea tumechoka wengine

Acha tusubiri tarehe 1 May
Mlimani city,

Though sijakusikiliza leo natumaini uliongelea kulala na waume wa watu pia.
 
Leo ndio nimeamini huyu dada anampenda sana Diamond alikuwa anaongea from nowhere kama kachanganyikiwa cjaweza tu kuandika kila kitu.

Alimpa likizo kisa anamuibia nyota yake...na alifanya uamuzi kwa kusikiliza the so called team Wema

Yeye na wao walidhani Diamond atapata labda a lady alie chinibyake baki baki... Kumbe mmmh hata hakujuaga kuwa Diamond ana fanya ma investment anapenda kusonga mbele na sio starehe show off za kijinga etc

So ndio maana anajuta maana hata nyumba hiyo alioamia hakujuaga ilikuwa inaendelea yeye busy kulala na mababu kisa pesa kisa bmw ....

Kumekucha...
 
Huyu nae??? mwenzio ndio kashaanza na zake, wewe kalaghabao tu
 
Back
Top Bottom