Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuachwa kuachwaa,,,,,,,,
Leo ndio nimeamini huyu dada anampenda sana Diamond alikuwa anaongea from nowhere kama kachanganyikiwa cjaweza tu kuandika kila kitu.
kuachwa ni shughuli pevuuuuuuu
Huyu juzi juzi tu hapa alisema hataki kabisa kusikia jina la Diamond
Kumbuka diamond asingefika hapo alipo bila Wema kila mtu anajua hilo. Wema ndio kamtoa
Wema ametunga au kuproduce wimbo gani wa Diamond?
Kumbuka diamond asingefika hapo alipo bila Wema kila mtu anajua hilo. Wema ndio kamtoa
Kumbuka diamond asingefika hapo alipo bila Wema kila mtu anajua hilo. Wema ndio kamtoa
Wema ndiye aliyemtangaza kwenye magazeti na kamfundisha ata kuongea english akienda nje...
Wanawake wa jamiiforums mnamchukia Wema sababu kawazidi uzuri na pesa mchweeew. Wote hamna maisha wivu umewajaa kama nini na mtaisoma namba sasa hivi madam ana mshefa wa ukweli bado pete tu kachoka kuwa na masharobalo wasio na hela.

Wema ndiye aliyemtangaza kwenye magazeti na kamfundisha ata kuongea english akienda nje. Tuongee ukweli jamani diamond hana shukrani ata kujibu sms ya ex wako huo ni uswahili mganda anamchuna tu.