Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Huyu juzi juzi tu hapa alisema hataki kabisa kusikia jina la Diamond
 
Maskini kanumba, kumbe angeacha watoto wawili, wa Wema na Wa lady assassinator.
 
Wanawake wa jamiiforums mnamchukia Wema sababu kawazidi uzuri na pesa mchweeew. Wote hamna maisha wivu umewajaa kama nini na mtaisoma namba sasa hivi madam ana mshefa wa ukweli bado pete tu kachoka kuwa na masharobalo wasio na hela.
 
Wema ametunga au kuproduce wimbo gani wa Diamond?

Wema ndiye aliyemtangaza kwenye magazeti na kamfundisha ata kuongea english akienda nje. Tuongee ukweli jamani diamond hana shukrani ata kujibu sms ya ex wako huo ni uswahili mganda anamchuna tu.
 
Wanawake wa jamiiforums mnamchukia Wema sababu kawazidi uzuri na pesa mchweeew. Wote hamna maisha wivu umewajaa kama nini na mtaisoma namba sasa hivi madam ana mshefa wa ukweli bado pete tu kachoka kuwa na masharobalo wasio na hela.

Na hao mabau aendeleee nao tu furaha kafunguka anamtamani bado Diamond timu yake mlikuwa wabishi full kumtukana D na Z wake.

Wema kafulia nani anatamani kuwa na maisha kama yake? Akili za qengine ndio aongee kwa kumaliza kukaa chini na kufundishwaaaa

Now anatafuta kiki kupitia kwa Diamond kubali tu....D yupo juu yake kiakili ya maisha etc

Mwanamke mlalwa ovyo ni ovyo
 
Wema ndiye aliyemtangaza kwenye magazeti na kamfundisha ata kuongea english akienda nje. Tuongee ukweli jamani diamond hana shukrani ata kujibu sms ya ex wako huo ni uswahili mganda anamchuna tu.

Acha uongo Diamond alisemaga ni Penny alimfundisha

Yaani nilihisi hauwajui na kweli haujui kitu, nyie ndio wale wa timu yake yaani timu -----.

Wema hajamfanyia lolote D

Anashinda kutamani na kulala na waume za watu.

Akasali kufuta laana anazotupiwa
 
Back
Top Bottom