Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Mpotezee fanya yako kila siku Wema mumwache amesha move on. Huyo Diamond kutwa kujipiga picha amuumize roho ila Wema kakuwa anafanya maendeleo.
 
Alipokuwa na wema D alikuwa hafanyi ya kujiendeleza kizaidi kama alivyo na Zari.

Hakuna chezea Zari, hata kwenda kwao kutaka kusaidi tunaona

Sio kukaa na mwanamke akiamka akilala anashindia udaku insta...no ushauri...no kupanga...udaku tu....hata ngozi inazidi kufubaaaaaa na michirizi
 
Wanawake wa jamiiforums mnamchukia Wema sababu kawazidi uzuri na pesa mchweeew. Wote hamna maisha wivu umewajaa kama nini na mtaisoma namba sasa hivi madam ana mshefa wa ukweli bado pete tu kachoka kuwa na masharobalo wasio na hela.

Chukua ma like ya ukweli.....yaan umesema kweli haswaa.....yaan watu wanalalia ugali tembele kila siku na siku nyingine wanakosa....MB zenyewe za kuingia Jf ni mpaka wavizie wireless za watu ila sasa humu ni Wema Wema.... mwenzao ana maisha yake na anajiweza sasa hao acha watape tape utazani dai ni mume wao......heheheeeeeee
 
Watu yanavyowatoka huku nyie mnawawaza walowaacha.mnataman.had kunywa sum ovyoooo mibaba na mimama mso na haya kimsakama mwenzenu kumbe ye na nyie wale wale kasoro tarehe
 
Hizi team hadi huku zimefika kweli huyu dada image inachafuliwa na hawa wanaojifanya team wema, unapokuja mtandaoni bila facts na kuanza kukebehi maoni ya watu unasahau kama yule ni kioo cha jamiii kujadiliwa ni lazima sioni kama kuna sababu ya nyie team fulani kutengeneza uhasama usiokuwa na sababu, jengeni hoja ziwasilisheni msikilizwe na sio kuparamia na kutoa maoni kama mlioshtuliwa usingizini!
 
Wanawake wa jamiiforums mnamchukia Wema sababu kawazidi uzuri na pesa mchweeew. Wote hamna maisha wivu umewajaa kama nini na mtaisoma namba sasa hivi madam ana mshefa wa ukweli bado pete tu kachoka kuwa na masharobalo wasio na hela.

Acheni kujifariji wakuitwa wema ndio jua linazama kwake
 
Sawa umesemoka wa kishua
 
Acheni kujifariji wakuitwa wema ndio jua linazama kwake

Wew fanya kazi tafuta hela acha kuhangaika na Wema coz humfikii ata chembe ukute mwenyew ata baskel humiliki.....
 
Tunakujua haumpendi Diamond utazani hata salamu mlishasalimiana kwa mikono.
 
Mpotezee fanya yako kila siku Wema mumwache amesha move on. Huyo Diamond kutwa kujipiga picha amuumize roho ila Wema kakuwa anafanya maendeleo.

Kwa vipindi vyake hadi mwezi wa 3 anarekodi anamuongelea D

Leo kashindwa vumilia kasema ukweli....lol

Mnatetea wakati mwenyewe anasema ya moyoni...mnalo bora kifunga mabakuli yenu.

Mwacheni D aishi maisha yake hamjamzaaaaa

Unatunga na kujitahidi kasome post yake insta kawajibu huko....mnalo machozi ya damu yanawatoka nyota hamna
 
Kuna wadada akili zao haziwatoshi anaelezea kutoa mimba anaona jambo la ufahariii....shame upon you...
 
Tunakujua haumpendi Diamond utazani hata salamu mlishasalimiana kwa mikono.

Huyo daimond ni nani kwani......ni mjusi kama mijusi mingine tuu....by the way simchukii wala si mpendi in short hanihusuu!!!!! Nimpende amekuwa mume wangu? Nyweeeeeeee sina muda mimi ...... wew endelea kumpigia promo sijui kumsifia anaeza akakushirikisha ata kwenye video zake......
 
Wanawake wa jamiiforums mnamchukia Wema sababu kawazidi uzuri na pesa mchweeew. Wote hamna maisha wivu umewajaa kama nini na mtaisoma namba sasa hivi madam ana mshefa wa ukweli bado pete tu kachoka kuwa na masharobalo wasio na hela.

Mhhhhhhhhhhhh, hiyo generalization yako kiboko, umejuaje kama wanawake wa JF sio wazuri, au wewe mzuri kwako wa kwanza na wa mwisho ni wema sepetu? Acha kupiga ramli ndugu, kuna watu TZ ni wazuri sana sema sio ma star.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…