Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Anazungumza suala la kutoa mimba moja tu utasema katika ulimwengu huu wa tatu ni kitu cha kawaida

kakiri jamani kuwa alitoa mimba. sasa anayemuhukumu ni wewe au aliyemuumba! nadhani hakuna aliyehaki juu ya mwanadamu mwenzake. mwacheni wema na uhuru wake ila msichoke kuwaombea neema hata msiowapenda.
 
madam kawavuruga TEAM PWANYA ROAD wanalalamika huko IG lol...et " unatuumiza fans wako usimuongelee dai" af dai nae kaeka picha ya zari kaisindikizia na caption za kiroho mbaya "huko kwingine nifate nini" poleni sana pwanya road hata mkiponda dai haisaidii boss wenu bado anamzimia anammiss sana na 1st may atazimia af zari ukikamata meseji mtu anatuma kwa mmeo naomba upige marufuku ha ha ha
 
tuache kuponda tu hovyo au ndo mambo ya IQ . huyo kawa mkweli kiubinadam mtu mlokaa miaka mingi in relationship hata mkiachana kuna vitu unavikumbuka hata kama hauhitaji mrudiane jaman na nyie mshakuwa na ma ex
 
Hawa nimeshachoka kuwasikia kwa kweli...hivi kwa nini wasikamatwe kama gwajima wafunguliwe mashtaka kwa kutusababishia usumbufu
 
kakiri jamani kuwa alitoa mimba. sasa anayemuhukumu ni wewe au aliyemuumba! nadhani hakuna aliyehaki juu ya mwanadamu mwenzake. mwacheni wema na uhuru wake ila msichoke kuwaombea neema hata msiowapenda.
Sijahukumu na wala sijamtaja Mungu hapo mkuu na wala sijamtolea lugha mbaya nilichosema "anazungumza suala la kutoa mimba moja tu utasema katika ulimwengu wa tatu ni kitu cha kawaida" which means yupo more than open embu soma huku ume-relax kama kuna hukumu yoyote au neno baya nililotoa
 

Kama kova kweli anafuata sheria na sio kushurutishwa amshtaki kwa maujaji ushahidi upo kakiri mwwnyewe aipochukuliwa hatua nitashangaa
 

sure so sorry
 
Kama kova kweli anafuata sheria na sio kushurutishwa amshtaki kwa maujaji ushahidi upo kakiri mwwnyewe aipochukuliwa hatua nitashangaa
Ukikiri hadharani kwamba ulikuwa mvuta bangi, mwizi, kutoa mimba na vitu vibaya vibaya vingine huwa hakuna kesi hapo zaidi ya kukutumia kuelimisha watu wengine kuacha matukio mabaya kama hayo. Ila hasara yake wakikukamata kwenye tukio lolote ndio umekwisha watatumia maneno yako kama reference ya kujazia hukumu. In this case hana hatia mbele ya sheria mkuu vinginevyo wangefungwa wengi sana
 
Mtu alie move on anaonekana kwa matendo na sio kila ukirushiwa dongo unaenda kutafuta public sympathy hiii ni blackmail! Angetambua thamani yake na yeye angekuwa ametulizwa na huyo kigogo wanaomficha na sio kujilalamisha mitandaoni kila siku! Diamond na Jokate mbona ni washkaji hadi birthday alimu wish, kwanini kwa huyu mwingine asifanye hivyo kwasababu anamjua ni mtu wa drama, bora hata hakumjibu hiyo sms, weeee mwanaume aliekuvumilia na michepuko yote uliyokuwa nayo wakati na yeye alikuwa ana provide unadhani was easy for him? Am happy amepata kifaaa kilichomzidi X wake kwa kila kitu, acha aendeleee kutafuta umaarufu wakati wenzake wanafanya kazi! Walisha move on kitambo sana!
 

Mkuu hizo ni sheria za nchi gani?
 
Hawa nimeshachoka kuwasikia kwa kweli...hivi kwa nini wasikamatwe kama gwajima wafunguliwe mashtaka kwa kutusababishia usumbufu

Teh Teh nimecheka sana hii comment..noma sana..
 
kuachwa ni shughuli pevu...wewe unakonda mwenzio ana nenepa
 



Yaani nimecheka sana kuhusu meseji...duh lazima kila kamlio ka meseji kalipopiga alijuwa anaikimbilia akidhani Chibu.

Caption ile duh tena baada ya kuitwa mswahili weee....oooo mbavu zangu
 
Yaani nimecheka sana kuhusu meseji...duh lazima kila kamlio ka meseji kalipopiga alijuwa anaikimbilia akidhani Chibu.Caption ile duh tena baada ya kuitwa mswahili weee....oooo mbavu zangu
Yani wanatia huruma ha ha ha boss kawavuruga
 
Ile kumuongelea ongelea daimond kwenye in my shoes ni kummiss mno pia wema anaonekana hana raha
Na leo daimond kaweka picha ya zari anasema kwingine afate niniii??😢😢😢😢
Sie tulijua wema anammiss dai hata kabla hajasemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…