Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Pole Wema you'll never walk alone. There's someone behind!
 
Hapa kuna ttzo kwetu sie wana jf. Kwann wanaonekana kumshambulia wema kw maneno aliyosema? Ni wivu,visasi au iq za baadhi yetu n shida.
 
Mjinga kabisa huyo kamfanya kanumba wa watu kafa bila mtoto kwasababu ya uuaji wake. Kova uko wapi au ndio mko biz na gwajima
 
Hapa kuna ttzo kwetu sie wana jf. Kwann wanaonekana kumshambulia wema kw maneno aliyosema? Ni wivu,visasi au iq za baadhi yetu n shida.

Tatizo unalo wewe....kwani wana jf wameweka maneno mdomoni mwake au kumkamata kichwa na mikono afanye matabia ya ovyo? Hata kukipeleka huku na kule kisa pesa?
 
Cute b una chuki na star Diamond, nimekuona mtaa wa pili unamwaga shombo

Daimond napenda sana kazi zake ila sasa kinachonikera kwa daimond ni MNAFKI ANA TABIA ZA KIMBEA MBEA SIJUI ZA KISWAHILI.....YAANI SIJUI SIKU HIZI KAWAJE KWA KWELI ila kazi zake napenda na ndo maana huwezi kuta namponda kwenye jambo la maana ...ila akishaanza kubwabwaja umbea wake wa kiswahili nitamponda tuu
 
Wema ndiye aliyemtangaza kwenye magazeti na kamfundisha ata kuongea english akienda nje. Tuongee ukweli jamani diamond hana shukrani ata kujibu sms ya ex wako huo ni uswahili mganda anamchuna tu.

Embu niulize kwani hicho kizungu alichojifunza kwa Wema kilimsaidia wapi hasa!!!? Ungeniambia Wema ndiyo aliyekuwa akimlipia ada Diamond ya kusoma British Council hapo ndiyo ningekuelewa
 
huyu ndio ana IQ ndogo, anakiri katoa mimba, kwani kutoa Mara moja ndio hakuna athari
 
Miongoni mwa makosa aliyofanya Wema ni kutamka hadharani kuwa ametoa mimba. Kwa jicho la karibu unaweza kudhani kwa kusema hivyo atakuwa ametua mzigo.

Kauli yake itamgharimu milele katika jamii. Hatapata nafasi ya kujiosha na kauli yake siyo funzo kwa kizazi hiki na kijacho.

Alichopaswa kufanya ni kuwa kimya na kutubu kwa muumba wake. Kama nia yake ni kuwa muwazi basi aseme hadharani tena anavyotoa tundu dogo.

Hili amekosea sana, ameikosea jamii na amekuwa kiigizo kibaya kwa jamii. Huku makadara tunaona aibu
 
Hivi kutoa mimba nchi hii si kosa la jinai, sasa huyu amekiri kosa kwa nini sheria isichukue mkondo na amtaje daktari au hospital alikofanyia hiyo shughuli ya kutoa mimba!

Kama mamlaka husika zitamuacha huru huyu mwanamke bila ya kumchukulia hatua zozote za kisheria kwa kosa kubwa alilolifanya la kudhurumu nafsi ya kiumbe kisicho na hatia...basi na ipitishwe sheria ya kuruhusu kutoa mimba na iwe ni halali kwa asiyetaka kuzaa...na madaktari waruhusiwe kufanya hivyo..bila kujificha ficha....wala woga....
 
Great Thinker Kikulachochako...wakati mwingine mimi sielewei mamlaka za sheria za nchi hii..kuna wakati niliwahi kumsikia Kiongozi mmoja wa siasa (sikumbuki jina) wakati ule Dr Slaa anaishutumu CCM kuwa ilihusika na jaribio la kutaka kuua kule Shinyanga, huyu bwana akiwa hewani kituo cha luninga cha Star TV alikiri waziwazi kuwa akiwa chama cha demokrasia na maendeleo (alishafukuzwa) alihusika katika kupanga mbinu za kudhuru watu wakati wa ule wa kampeni za uchaguzi Tabora (najua Chadema walishalitolea maelezo hili, na sina hakika kama kweli walipanga mbinu hizo), lakini badala ya polisi kufuatilia suala hili wali respond kwa kusema ni masuala ya kisiasa tu hayo! napata mashaka ukiwa mtu maarufu (mwanasiasa au msanii) unaweza vunja sheria nchi hii, ukakiri hadharani na bado mamlaka na vyombo husika vikaa kimya (kuacha upepo upite!)
 
Vyombo vya usalama vya taifa vipo kwa manufaa ya kundi fulani katika nchi hii....lipo kwa ajili ya watu wanaowanunulia bia na kuwapa vijihela vya vocha kiasi kwamba mpaka limesahau kuwalinda walipa kodi ambao kimsingi ndio mabosi wao...kwa hili la huyu binti kukiri live alitenda kosa hilo ni vyema serikali kupitia mamlaka husika zikatupa mchanganuo kuhusu hili suala kwamba pengine kuna baadhi ya watu wapo juu ya sheria...au tukio la kutoa mimba limeruhusiwa kwa watu maalumu na maarufu tu kwa hiyo kwa watu wengine ni kosa la jinai......
 
Back
Top Bottom