Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Wema you'll never walk alone. There's someone behind!
Hapa kuna ttzo kwetu sie wana jf. Kwann wanaonekana kumshambulia wema kw maneno aliyosema? Ni wivu,visasi au iq za baadhi yetu n shida.
Cute b una chuki na star Diamond, nimekuona mtaa wa pili unamwaga shombo
Wema ndiye aliyemtangaza kwenye magazeti na kamfundisha ata kuongea english akienda nje. Tuongee ukweli jamani diamond hana shukrani ata kujibu sms ya ex wako huo ni uswahili mganda anamchuna tu.
Kuwa mpole mkuu....kuna kula kwa hamu na kula kwa shida......
Haaa wengi wanakula kwa shida
Hivi kutoa mimba nchi hii si kosa la jinai, sasa huyu amekiri kosa kwa nini sheria isichukue mkondo na amtaje daktari au hospital alikofanyia hiyo shughuli ya kutoa mimba!
Kama mamlaka husika zitamuacha huru huyu mwanamke bila ya kumchukulia hatua zozote za kisheria kwa kosa kubwa alilolifanya la kudhurumu nafsi ya kiumbe kisicho na hatia...basi na ipitishwe sheria ya kuruhusu kutoa mimba na iwe ni halali kwa asiyetaka kuzaa...na madaktari waruhusiwe kufanya hivyo..bila kujificha ficha....wala woga....
Great Thinker Kikulachochako...wakati mwingine mimi sielewei mamlaka za sheria za nchi hii..kuna wakati niliwahi kumsikia Kiongozi mmoja wa siasa (sikumbuki jina) wakati ule Dr Slaa anaishutumu CCM kuwa ilihusika na jaribio la kutaka kuua kule Shinyanga, huyu bwana akiwa hewani kituo cha luninga cha Star TV alikiri waziwazi kuwa akiwa chama cha demokrasia na maendeleo (alishafukuzwa) alihusika katika kupanga mbinu za kudhuru watu wakati wa ule wa kampeni za uchaguzi Tabora (najua Chadema walishalitolea maelezo hili, na sina hakika kama kweli walipanga mbinu hizo), lakini badala ya polisi kufuatilia suala hili wali respond kwa kusema ni masuala ya kisiasa tu hayo! napata mashaka ukiwa mtu maarufu (mwanasiasa au msanii) unaweza vunja sheria nchi hii, ukakiri hadharani na bado mamlaka na vyombo husika vikaa kimya (kuacha upepo upite!)
Hivi me sijui ndo macho yangu mabovu,ingawa siwajui vizuri hawa mabinti,lakini naona ka Wema ni karembo kuliko huyo zari.