Wema Sepetu: Sina amani kabisa kwenye maisha yangu

Wema Sepetu: Sina amani kabisa kwenye maisha yangu

Sasa alitegemea nini?
Mara natengeneza nywele kwa 1.2M kwa wiki. ..

Au ndio anafanya marketing ya Application yake?
 
Mimi ningekua Wema ningepumzika kwanza na mambo ya media. Niendelee na maisha nje na mitandao kabisa

Hawezi kabisa. ..

Akikaa kimya ile Wema Application aliyozindua si itakufa? Si unajua ameiletea Tanzania sifa kubwa sana?
 
Anayataka mwenyewe akiachwa mitandaoni akipata bw mpaya mitandaoni akikamata mlupo mitandaoni akichelewa kupata siku zake mitandaoni akivimbisha makalio mitandao.
Ushamba kwenda mbele.
 
When a woman has been given Beauty wit no Brain!!!! Her inner parts surfers a lot,,, Quotation from....... ain't saying it's what it is but sometimes it's wat it is....
 
Sio wetu na wote wanaojiona maarufu wa nchi hii hasa wakikike watachoka haraka sana maana wanajua kujulikana in kubadirisha wanaume
 
Wema nipm nkipe dawa ya hayo mambo upate amani ya moyo~
 
When a woman has been given Beauty wit no Brain!!!! Her inner parts surfers a lot,,, Quotation from....... ain't saying it's what it is but sometimes it's wat it is....
Shida ya beauty nayo ni very relative jamani, hii kiumbe mi hata sionagi uzuri wake uliopitiliza, sema ana michezo kama kaka 'shati mfuniko wa vits' kujikuza mno kupitia media. Kiuhalisia sio kabisa yaani.

Wasipoandikwa ndani ya wiki moyoni hakukaliki kabisa!
 
ameyata mwenyewe ndi ndi ndi, tumeyaona wenyewee ndindi, acha haisome numba iyooooo, ccwenyewe umbeya mbele kwa mbeleeeeeeee
 
Mpeleke bas uko kwa Dangote.. Kwan ni dhambi mtu kuongea yaliyo ya moyon mwake?
 
Mimi ningekua Wema ningepumzika kwanza na mambo ya media. Niendelee na maisha nje na mitandao kabisa

Ungepumzika na media au ungepumzika kufanywa fanywa hovyo ili utunze heshima yako kwa jamii??
 
Hahaha team flani wamesha anza kumsumbua wema kisa kamsuport flan
 
Back
Top Bottom