Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ningekua Wema ningepumzika kwanza na mambo ya media. Niendelee na maisha nje na mitandao kabisa
Basi na avumiliane na yote tu. Mana hakuna namnahawezi hata nusu saa kukaa bila media hawezi......ni kama kilema hicho.
Ngoja nicheke (ha ha haaaa)Hawezi kabisa. ..
Akikaa kimya ile Wema Application aliyozindua si itakufa? Si unajua ameiletea Tanzania sifa kubwa sana?
Shida ya beauty nayo ni very relative jamani, hii kiumbe mi hata sionagi uzuri wake uliopitiliza, sema ana michezo kama kaka 'shati mfuniko wa vits' kujikuza mno kupitia media. Kiuhalisia sio kabisa yaani.When a woman has been given Beauty wit no Brain!!!! Her inner parts surfers a lot,,, Quotation from....... ain't saying it's what it is but sometimes it's wat it is....
Ndio kwanza amezindua AppMimi ningekua Wema ningepumzika kwanza na mambo ya media. Niendelee na maisha nje na mitandao kabisa
Mimi ningekua Wema ningepumzika kwanza na mambo ya media. Niendelee na maisha nje na mitandao kabisa
Vyote kwa pamojaUngepumzika na media au ungepumzika kufanywa fanywa hovyo ili utunze heshima yako kwa jamii??