Umemsikia lemutuz? Anasema mama ubaya hazai kwa kuwa alimkashfu zari hvyo akamuombe msamaha
Umemsikia lemutuz? Anasema mama ubaya hazai kwa kuwa alimkashfu zari hvyo akamuombe msamaha
Jamen mama ubaya si useme tu huna kizazi looh, nyoo ebu tupishe apa
wewe ni team. .....Kumekucha
We ndiyo unafikiri kwa kutumia kamasi tu. Sasa we Wema uyo si kibibi kile? Unaka kizae na umri upi sasa? Kitaalam haishauriwi kuzaa above 35Mitanzania ni mipumbavu kupita maelezo, simshauri mwanamke yeyote kuzaa kabla ya ndoa labda afikishe miaka 40 na hajaolewa hapo ni sawa kama ataamuwa kuzaa.
Nchi hii mijitu inazidi kuwa masikini kwa kushabikia mambo yasiokuwa na kichwa wala miguu.
Warumi napenda kujua umri wako. Na pia kama uko ndani ya ndoa au laAHahahahah hahahhaaaja ahahah khaaa mmejua kunivunja mbavu leo, aseeh sio kwa uchonganishi huu kwa kweli