Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Namuombea asikufuru tu sidhani kama kuna mtu asiyependa mtoto.

Ila kuna kipindi watu walimuandama sana kuhusu kuwa na mtoto nahisi ndo kilichomtia hasira hata aandike maneno kama hayo.

Hata leo alikuwa anapost mbwa na mama yake alikuwa kambeba mbwa wa wema , wema akasema mtoto wake hyo yupo anadeka kwa bibi yake, apo ndo watu wakamcharukia kumchamba
 
hii ni habari mbaya kwa image ya nchi, itabidi wema sepetu( 22+4) abembelezwe na ikulu chini ya first lady abadili msimamo sababu yeye ne dangote ndio wanaoitangaza nchi yetu kimataifa

Taifa lipi? Huyo wema na dangote anawaumiza vichwa nyie aka akina sie tusiokuwa na Elimu wala kazi za maana ndo maana kutwa ndomo na mama ubaya, kuna watu wapo busy sana na kazi zao za maana so mda wa kipuuzi kama huu
 
Mwanasaikoloji umetisha, chezeya binamu yangu weye, kila cheo ye yumo

Inaonekana tu kuwa hana kizazi huyo, maana anavyoongea kuna vitu vinaingia mpaka kwenye ubongo

Mimi ni mwanasaikolojia binam sema sipendag tu kujionyesha teh tehhhhh
 
Taifa lipi? Huyo wema na dangote anawaumiza vichwa nyie aka akina sie tusiokuwa na Elimu wala kazi za maana ndo maana kutwa ndomo na mama ubaya, kuna watu wapo busy sana na kazi zao za maana so mda wa kipuuzi kama huu
kwani hujui hadi profesa wa china ni promota wa dangote au na yeye hajabukua?
 
Inamaana kama anazaa dangote alikuwa anatumia ndom mara zote but kama wakuzaa angekuwa na mimba mm natolewa bkra na kupewa mimba
 
Yaani watu wanachunguzana hadi kwenye mambo ya kuzaa?!!!!!!

halafu tunamlaumu Prof Kikwete eti hajui kwa nini sisi ni masikini. kama tungejiuliza wenyewe tungeshaamua kupambana na umaskini kuliko kukalia udaku wa nani kazaa na nani kakataa.
 
NDo ujiulize inakuwaje mtu ana ukimwi halafu na watu wakajua flan ana ukimwi

Ndo ujue hakuna watu wambea kama manesi na madocta ni wambwa hatareeeeeee
 
kosa akili omba haya sasa huyu bardhuri vyote hana. baah inawezekana ile michezo yao kizazi kimekwenda mbali kama bahari (maji kupwa maji kujaa )chezea MTOTO weye watu wanakunywa mitishamba inajaa semi kutafuta mtoto!
 
kuna siku huyo baby wake(mbwa) alitoka nje bila kuonekana
.
Jamani alifunga mtaa kwa kutukana, wale wafanya kazi wake walikoma siku hiyo.
Aliwaambia nyie wote hamna thamani kama huyu mbwa wangu so toka nje wote mkamtafufe, hapo kasimama katikati ya barabara.
Nikasema huyu wema amechanganyikiwa na huu uzungu wa kuiga..
Halafu nikamtoa thamani na kumuona ni zaidi ya wale wanaokaa manzese uwanja wa fisi maana alitukana matusi makubwa alidhani majirani wamemficha.
 
Hata leo alikuwa anapost mbwa na mama yake alikuwa kambeba mbwa wa wema , wema akasema mtoto wake hyo yupo anadeka kwa bibi yake, apo ndo watu wakamcharukia kumchamba

Na kule insta watu wanachamba jamani, mweeeh hadi nimetetemeka aisee.....watu wanaporomosha makombora hatari.

Ila ni kiasi tu cha kumuelewa, kaongea kwa panic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…