warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
Namuombea asikufuru tu sidhani kama kuna mtu asiyependa mtoto.
Ila kuna kipindi watu walimuandama sana kuhusu kuwa na mtoto nahisi ndo kilichomtia hasira hata aandike maneno kama hayo.
Hata leo alikuwa anapost mbwa na mama yake alikuwa kambeba mbwa wa wema , wema akasema mtoto wake hyo yupo anadeka kwa bibi yake, apo ndo watu wakamcharukia kumchamba