Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Hahahaaa eti uzungu wa kuiga....LOL!
 
Huyu dada ndio maana nasemaga watu wanaomshabakia watakuwa na akili kama zake...maana sionagi kitu anacho wainspire watu..
 
Kuzaa na hili panya ni kutopeza mbegu
 
Siyo bure,Atakuwa na kamchezo fulani na huyo baby wake.

Mtoto wa ki-Islam na mbwa!!

Enjoy mwaya usije kusema tunakuonea wivu,Tena kina ulimi kama msasa heheee..
 
Aende uko, anaitamani sanaaaa anafikiria kua mama ni mchezo? Kazinyofoa mimba weee sasa kabaki kulea mbwa, hajui huyo mbwa pia Ana mamake au kamzaa yeye shankupe huyo mbele kauza nyuma kaweka rehani atajibeba.....
 
Hata mi nashangaa.

Ndugu ukisikia kumtaja m'mungu pasipohusika ndio huku.

Ila labda mi na wewe ndio hatujaelewa.

wanaomjua wameshamwelewa......mie na wew tunabaki kushangaa tu hapa .....
 
Aende uko, anaitamani sanaaaa anafikiria kua mama ni mchezo? Kazinyofoa mimba weee sasa kabaki kulea mbwa, hajui huyo mbwa pia Ana mamake au kamzaa yeye shankupe huyo mbele kauza nyuma kaweka rehani atajibeba.....

haaaaaa......hivi haya maneno mnayatoaga wapi.....?

nimecheka sana
 
hahaha umeona eeeh ukizalishwa utamchuna nani haha yaliyomkuta rosendauka ni somo

hili neno kuzalishwa naona kama linamdhalilisha mwanamke........kwanini isiwe kuzaa......
 
hili neno kuzalishwa naona kama linamdhalilisha mwanamke........kwanini isiwe kuzaa......

hahaha sidhani kama linamdhalilisha wakati wa process kuna wengine nyuma yake anyway kwa vile sijawahi kuzaa nafuta kauli
 
Hapo nisaidie tafsiri kido sijamuelewa, maana kaongea lugha za vijana na mimi kakaenu umri ushaenda.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
hahaha sidhani kama linamdhalilisha wakati wa process kuna wengine nyuma yake anyway kwa vile sijawahi kuzaa nafuta kauli

kwa maoni yangu.......ukisema mwanamke yule kazalishwa na yule mwanaume naona kama kumdhalilidha......ni afadhali iwe amezaa na yule mwanaume......

neno kuzalishwa linatumika hospital naona.....maana kuna wakunga wanazalisha.........hapo sawa ...mfano nilizalishwa na doctor fulani au nurse fulani ndiyo alinizalisha......

ila kuzalishwa na mwanaume fulani naona uzalilishaji......ila kuzaa naona poa.....

miss neddy ni mtazamo my dia...
 
Last edited by a moderator:

noted ahsante kwa masahisho
 
Last edited by a moderator:
Aende uko, anaitamani sanaaaa anafikiria kua mama ni mchezo? Kazinyofoa mimba weee sasa kabaki kulea mbwa, hajui huyo mbwa pia Ana mamake au kamzaa yeye shankupe huyo mbele kauza nyuma kaweka rehani atajibeba.....

AAaaaah et hajui mbwa nae ana mama ake
 
Kizaziii hakipooo hapoo sio kwamba hatakiiiiiiii
 
hili neno kuzalishwa naona kama linamdhalilisha mwanamke........kwanini isiwe kuzaa......

Angekuwa kwenye ndoa tungesema kazaa, ndoa ina heshima yak aiseeh ukizaa ovyo bila ndoa unaonekana mchafu n malaya
 
Angekuwa kwenye ndoa tungesema kazaa, ndoa ina heshima yak aiseeh ukizaa ovyo bila ndoa unaonekana mchafu n malaya

kwahiyo ambao hawana ndoa wakizaa wamezalishwa........na ukiwa na ndoa ndiyo umezaa......kwahiyo tofauti iliyopo hapa ya kuzaa na kuzalishwa ni ndoa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…