Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
kuna siku huyo baby wake(mbwa) alitoka nje bila kuonekana
.
Jamani alifunga mtaa kwa kutukana, wale wafanya kazi wake walikoma siku hiyo.
Aliwaambia nyie wote hamna thamani kama huyu mbwa wangu so toka nje wote mkamtafufe, hapo kasimama katikati ya barabara.
Nikasema huyu wema amechanganyikiwa na huu uzungu wa kuiga..
Halafu nikamtoa thamani na kumuona ni zaidi ya wale wanaokaa manzese uwanja wa fisi maana alitukana matusi makubwa alidhani majirani wamemficha.
Hahahaaa eti uzungu wa kuiga....LOL!