Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Haha ukweli basi unemkimbiza

Ngoja nirudi sasa

Huyo mama ubaya hana kizazi ndo maana anatapatapa, kama ye ni mwanamke kweli azae aache kutokwa na mapovu, mfyuu, kajisemea member wa umu jf kuwa ata hao mbwa wana mama zao asijishaue apa
 
Anataka apate mtu mwenye umbile zuri sio azae na domo atoe katuni, njoo kwangu nina mbegu za kike tu mwaka huu nitatoa missworld.
 
Ngoja nirudi sasa

Huyo mama ubaya hana kizazi ndo maana anatapatapa, kama ye ni mwanamke kweli azae aache kutokwa na mapovu, mfyuu, kajisemea member wa umu jf kuwa ata hao mbwa wana mama zao asijishaue apa

Hhhhhhaaaaa
 
Not a Wema fan by any stretch.

But I gotta give it to her.

Do you, and let others do them.

Kivyakovyako, kama Ras Pompidou.
 
Hv kwa dunia ya ss kuna mtu hataki mtoto kweli?Aseme tu kizazi ashampa mbwa kala au ashatupa chooni.

Kwa nini unafikiri ni lazima.kila mtu atake mtoto?

Mbona kila siku watu waanawakimbia watoto wao, wengine wanawagawa waende kwenye adoption?

Kama wewe unataka mtoto usifikiri kila mtu yupo kama wewe.
 
Ndio binamu, kuolewa ina heshima yake haijalishi huyo mwanaume ana kipato kizuri au lah, ukiwa kwenye ndoa tu watakuheshimu, utaitwa mke wa mtu au mume wa mtu.

Wadada wengi wanaozaa nje wanadharauliwa sana kwa kweli

ahhaa ndiyo maana wanawake wengi hata iweje watafia humokwenye ndoana!
 
Ngoja nirudi sasa

Huyo mama ubaya hana kizazi ndo maana anatapatapa, kama ye ni mwanamke kweli azae aache kutokwa na mapovu, mfyuu, kajisemea member wa umu jf kuwa ata hao mbwa wana mama zao asijishaue apa
warumi basiiii mhurumie mwana wa mwenzako....Dada huna wewe? Khaaaa kizazi sio mfuko wa rambo kwamba ukitembea lazima uuone
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini unafikiri ni lazima.kila mtu atake mtoto?

Mbons.kila.simu watu waanawakimbia watoto wao, wengine wanawagawa waende kwenye adoption?

Kama wewe unataka mtoto usifikiri kila mtu yupo ka wewe.

You nailed it Kiranga.... Watu wanawakana watoto wao live. Wengine wanakula raha ulaya wameacha watoto wao vijijini hata muda wa kuwakumbuka hawana. Kuliko umtese bora usimzae kabisa
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini unafikiri ni lazima.kila mtu atake mtoto?

Mbons.kila.simu watu waanawakimbia watoto wao, wengine wanawagawa waende kwenye adoption?

Kama wewe unataka mtoto usifikiri kila mtu yupo ka wewe.

Wema anaonekana anapenda sana watoto, mara nyingi amekuwa aki post picha za watoto insta na yeye mwenyenye anasema kuwa anataman sana kuwa mama, ila bibie ndo vile mayai sijui hana anajua yeye
 
Wema anaonekana anapenda sana watoto, mara nyingi amekuwa aki post picha za watoto insta na yeye mwenyenye anasema kuwa anataman sana kuwa mama, ila bibie ndo vile mayai sijui hana anajua yeye

Mayai ashalia chipsii
 
Mama ubaya anataman sana mtoto anajishaua tu sema kizazi hana, atajibeba anajifanya kufuga mbwa, si afuge na kuku kabisa ili ale nyama?? Kantangaze

Ndio ashatangazwaaaaa
 
Hahaha jiwe hilooooooo sijui lishampata warumi? Asijekimbia celeb bure

Nikimbie niende wapi binamu na humu ndo nyumban?? Tutabanana na kuchambana humu humu lakini sitoki, utakimbia wewe tu binamu
 
Last edited by a moderator:
Mayai ashalia chipsii

Eheh eeh atajijua, ila ndo hvyo huwez kupewa kila kitu, wema mzuri, star, anaishi maisha mazur japokuwa kwa kutegemea wanaume, ila anachotamani ndoa na mtoto vitu ambavyo ni bado vitendawil kwake
 
Ndio ashatangazwaaaaa

Ata mimi naweza kutangaza namuoa Dinazarde kwan ni kaz kutangaza? Tuliambiwa ndoa itafungwa kabla ya ramadhan, mara ooh mwez wa nane, huu mwezi wa ngap? Hakuna send off wala kitchen party,kwi kwi kwi kwi, nakumbuka tu kauli ya mama wema eti ndomo akatoe mahal kwa kina penny dah nilicheka sana yule mama ni nuksi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…