Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mfalme suleman hakuzaliwa ndani ya ndoaaa
Ngoja nirudi sasa
Huyo mama ubaya hana kizazi ndo maana anatapatapa, kama ye ni mwanamke kweli azae aache kutokwa na mapovu, mfyuu, kajisemea member wa umu jf kuwa ata hao mbwa wana mama zao asijishaue apa
Hv kwa dunia ya ss kuna mtu hataki mtoto kweli?Aseme tu kizazi ashampa mbwa kala au ashatupa chooni.
Ndio binamu, kuolewa ina heshima yake haijalishi huyo mwanaume ana kipato kizuri au lah, ukiwa kwenye ndoa tu watakuheshimu, utaitwa mke wa mtu au mume wa mtu.
Wadada wengi wanaozaa nje wanadharauliwa sana kwa kweli
Anakuogopaa huyoooo michambo yako fist class haitaki kabisaaa asijeacha kuingia jamii miez miwili
warumi basiiii mhurumie mwana wa mwenzako....Dada huna wewe? Khaaaa kizazi sio mfuko wa rambo kwamba ukitembea lazima uuoneNgoja nirudi sasa
Huyo mama ubaya hana kizazi ndo maana anatapatapa, kama ye ni mwanamke kweli azae aache kutokwa na mapovu, mfyuu, kajisemea member wa umu jf kuwa ata hao mbwa wana mama zao asijishaue apa
Kwa nini unafikiri ni lazima.kila mtu atake mtoto?
Mbons.kila.simu watu waanawakimbia watoto wao, wengine wanawagawa waende kwenye adoption?
Kama wewe unataka mtoto usifikiri kila mtu yupo ka wewe.
Kwa nini unafikiri ni lazima.kila mtu atake mtoto?
Mbons.kila.simu watu waanawakimbia watoto wao, wengine wanawagawa waende kwenye adoption?
Kama wewe unataka mtoto usifikiri kila mtu yupo ka wewe.
Wema anaonekana anapenda sana watoto, mara nyingi amekuwa aki post picha za watoto insta na yeye mwenyenye anasema kuwa anataman sana kuwa mama, ila bibie ndo vile mayai sijui hana anajua yeye
Mama ubaya anataman sana mtoto anajishaua tu sema kizazi hana, atajibeba anajifanya kufuga mbwa, si afuge na kuku kabisa ili ale nyama?? Kantangaze
Ndio ashatangazwaaaaa