Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa


Jina la Dinazarde lishakukaa kidoleniiiii looooo naweeee
 
Last edited by a moderator:
Dah ila wabongo kwa kweli ni wajuaji, angezaa shida, kaja na mbwa shida, akitafuta kaserengeti boy kama shem wa taifa akimzungua taabu; basi ni shiiiiiidaaaaaah in Komba's voice.

Tanzania siyo kisiwa. Hebu tokeni mjue basi na ulimwengu mwingine watu wanaishije
 
warumi basiiii mhurumie mwana wa mwenzako....Dada huna wewe? Khaaaa kizazi sio mfuko wa rambo kwamba ukitembea lazima uuone

Kweli huyu ni sawa na sizitaki mbichi hizi!.....nani asitaka kuzaa thubutuuuu,aseme tu kachezeaaa ujana mambo yalishakkaa tofauti then anasingizia mipango hapo isue sio mipango tatizo ni mlango!
 
Last edited by a moderator:
Mbons.kila.simu watu waanawakimbia watoto wao, wengine wanawagawa waende kwenye adoption?

Nini kuwakimbia...? Kuna wengine wanawazaa halafu wanawatupa majalalani kama takataka!
 
Wema anaonekana anapenda sana watoto, mara nyingi amekuwa aki post picha za watoto insta na yeye mwenyenye anasema kuwa anataman sana kuwa mama, ila bibie ndo vile mayai sijui hana anajua yeye

Anaweza kupenda watoto na kutamani kuwa mama bila kutaka kuzaa.
 
Mi nimeshamuelewa, huyu hana kizazi tu anajishaua bure, ule umalaya wa kutoa mimba ovyo kama anakunya mavi kizazi kisitoke mchezo? Atajibeba
mnataka azae kwani ameolewa jamani? warumi maadili ya dini huna weweee???? kwanini wataka mwenzako AZINI lakini?? eee??? avunje amri ya Mungu?? eee??? shindwa pepooooo!!!
 
Last edited by a moderator:
mnataka azae kwani ameolewa jamani? warumi maadili ya dini huna weweee???? kwanini wataka mwenzako AZINI lakini?? eee??? avunje amri ya Mungu?? eee??? shindwa pepooooo!!!

kwahiyo maadili ya dini yanaruhusu kumfanya mbwa kuwa mtoto wako......?
 
Last edited by a moderator:
👌👌💨💨💨 I heard tht, she has scared to hv a child

SABABU....NARUDIA SABABU... ATATOKA KWA NYUMA

...Coz anafanya ANAL-yis sex sana....

...Under 18 don't practice this....🐍🐍🐴
 

na wakina baloteli 2nawafanyaje
 
Anaweza kupenda watoto na kutamani kuwa mama bila kutaka kuzaa.

Sio kwa wema lakini, naona ni kazi ya mungu tu haina makosa, asikate tamaa sio kila mwanamke anaweza kuitwa mama, mbona wapo wengi tu , cheus dawa jide, millen magese n baadh y mastaa hawan uwezo huo, ni kawaida tu, ata marehemu kanumba kuna wakat alilalamika suala la mtoto aliumia sana n kusema anamuachia mungu, sasa sijui alikuwa anamwag mbegu san au vp
 

Kwa hiyo unamjua kuliko anavyojijua yeye mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…