Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ata mimi naweza kutangaza namuoa Dinazarde kwan ni kaz kutangaza? Tuliambiwa ndoa itafungwa kabla ya ramadhan, mara ooh mwez wa nane, huu mwezi wa ngap? Hakuna send off wala kitchen party,kwi kwi kwi kwi, nakumbuka tu kauli ya mama wema eti ndomo akatoe mahal kwa kina penny dah nilicheka sana yule mama ni nuksi
Jina la Dinazarde lishakukaa kidoleniiiii looooo naweeee
Last edited by a moderator: