Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

mnataka azae kwani ameolewa jamani? warumi maadili ya dini huna weweee???? kwanini wataka mwenzako AZINI lakini?? eee??? avunje amri ya Mungu?? eee??? shindwa pepooooo!!!

Usinichekeshe hyo DINI inaruhusu kuishi na mwanaume bila ndoa? Dini inaruhusu kutembea na waume za watu? Ebu nitajie ni dini gan hiyo inayoruhus ivo vitu? binamu kitu gan bhana
 
Last edited by a moderator:
Huon raha kutajwa na le super star all the time? Le warumuz le mubebez?? Watu wanatafuta hyo fursa ya kutagiwa na warumi ila hawaipati oooh we chezea tu bahat

Hhhhaaaaaaaaaaa looo unipumzisheee mara moja kwa wiki
 
Last edited by a moderator:
hakuna mwingine sasa, kama huniamini jaribu uone kama comment zitafika hata kumi.

Kwa kuwa yeye ndo nani? Waandish ndo tunaamua nani awe nan sio staa, staa bila mwandish n kaz bure binamu, wema anaweza kujiandika kweny magazet? Ustaa wa wema upo mikononi mwa waandish, haswa shigongo
 
Le warumiziiii
 
Mpe tu, umaarufu jamii hauna mshahara,wala tuzo wa kazi gani mieee

Mfyuu ebu nipishe mie apa, ivi binamu unapika saa ngap maana toka mchana uko online na usiniambie sijui nina housegirl maana najua huna, wewe ndo housegirl ndo kila kitu, aya huyo msukuma unampikia saa ngap? Kwi kwi! Kwi! #SidhaniKamaNipoSiriasi #NataniaaTuu
 
Usinichekeshe hyo DINI inaruhusu kuishi na mwanaume bila ndoa? Dini inaruhusu kutembea na waume za watu? Ebu nitajie ni dini gan hiyo inayoruhus ivo vitu? binamu kitu gan bhana

anasubiri NDOA ndio azae binamu, hivyo tu yani, ile ndoa yetu ya uwanja wa taifa ikishafungwa from there ndio tuanze kuculculate EDD.
 
Ebwana eeeh huyu kweli ndondocha fresh saiv anaringa ngoja agimbae maana Bibi face haipo mbali
 
Siamini, ana mock tu huyu.
 
Attachments

  • 1428785314928.jpg
    1428785314928.jpg
    95.4 KB · Views: 433
Back
Top Bottom