Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Foreplan herbal clinik. Ilala bungoni...ndio suluhisho lako
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo usijibizane nao,polee maneno yanauna Muachie Mungu atapigana nao hakuna linaloshindikana hapa dunia ukiamini inawezekana tu na wakati ukifika utapata tu mtoto
 
Weeee..acha kuota ndoto za ali nacha...unaongaea maneno ya kufikirika tu...ww ulishakutana na huyo Mungu...!!? ww ulikuwepo zama hizo..!!? Umebaki kukopi na kupaste stories of unknown truth...!!?
Ww hutatoa suluhu hapa..umebaki kubwabwaja tu...no solution..!!!

Scientifically, huyu anatakiwa afanye deep sex ya ukeni siku za kushika mimba with a man without condom.....na asifanye other types of sex ambazo hata shika mimba mfano Anal sex, oral sex, toy/ dildo sex, female to female sex, plus asitumie condom...

As well sex position matters alot, asikae juu mwanaume chini..meaning amkalie mwanaume...!!! Au sex ya kushika ukuta...hapa anatakiwa apate deep sex doggy style bila condom..mimba mbona inakuja
haraka tu...

Sasa nyiee wooote mnazidi ku confuse hapa...hamtoi majibu sahihi...maana hawa wasichana wa siku hizi wanafanya sex ya kila aina bila kujua sex ipi ndio nzuri kwa kutunga mimba....

Anitafute aone...!!! Hamna utani hapa...!!! Ataleta litumbo hapa mshangae...!!



 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo usijibizane nao,polee maneno yanauna Muachie Mungu atapigana nao hakuna linaloshindikana hapa dunia ukiamini inawezekana tu na wakati ukifika utapata tu mtoto

Mungu hapigani vita visivo na kichwa wala mkia kwa mtu ambaye wala haitaji mtoto kwa
wakati huu kama alivosema.
FYI huyo dog hapo ndie alimtangaza kuw ndo mwanae.
 

Attachments

  • 1428787517858.jpg
    58.4 KB · Views: 668
Ww hutatoa suluhu hapa..umebaki kubwabwaja tu...no solution..!!!
Hata hivyo sikutegemea kupata jibu sahihi kutoka kwako, since I knew what kind of a person you must be.
Okay, hebu nije kisayansi as you need. Je, katika taaluma ya baiolojia, hakuna kitu kinachojulikana kama utasa?
 
Magonjwa ya zinaa yakijirudia mara nyingi kwa mwanamke eg syphilis, husababisha ugumba na miscarriage . Abortion pia ina waza kuwa source., hormonal inbalance pia. Nenda kwa Gwajima, atakupa mimba fasta.
 
Magonjwa ya zinaa yakijirudia mara nyingi kwa mwanamke eg syphilis, husababisha ugumba na miscarriage . Abortion pia ina waza kuwa source., hormonal inbalance pia. Nenda kwa Gwajima, atakupa mimba fasta.

Hahahaaa.... wakikusikia
 
Kajitakia mwenyewe shauri yake, katoa mimba wee leo anaanza kulia, halafu c alisema kuwa hana shida na mtoto, mtoto wake ni mbwa... Analalamika nn sasa wakati anaye mtoto wake kamfunga mnyororo shingoni... Pumbavu zake
 
hajapata mwanaume tu aliye kamili uyo.nikiweza kumpata na tukacheza round kama wiki ivi lazima apate ujauzito mungu akitaka.njoo WEMAAAAAA
 

Attachments

  • 1428789366403.jpg
    18.3 KB · Views: 690
Sidhani kama haya ni ya kweli, naona anataka mahasimu wake waruke sarakasi, mwisho wa siku yeye awe The winner.
 

we Wema hayupo huku,kamwandikie instagram huo ujumbe
 
I second you.
Kwanz kama kweli angekua na tatizo asingesema huyu.
Few days back alisema bado mdogo.This is another kick I tell u.tena unaweza kuta she is prego contrary to what is writtem.Ni kama ana wajoke wahasimu wake.
Kuna kitu umekisema kwa ufundi mkubwa
 
Pole wema lakini usikate tamaa Mungu hamtupi mja wake unless otherwise kama ni technical problem
 
Wema aje kwangu. Mimi napandikiza mbegu hata jangwani na inaota.
 
Acheni kukebehi watu. Mnajifanya kana kwamba ninyi hamna matatizo. Kila mtu ana matatizo yake anayoyajua yeye mwenyewe.Lakini nisiwalaumu sana. Sio kosa lenu. Upeo wenu mdogo wa kufikiria ndipo ulipoishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…