Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishapata watoto ndio mnakufuru Mungu kwa kujiona kuwa ni matokeo ya biolojia. If you think more and more, unaweza ukapata jibu kuwa aliyekuzaa ametokea wapi... ukawa unarudi nyuma kwa vizazi vyote, halafu useme huyo mzazi wetu wa kwanza alitokea wapi. Utajitetea kwamba sijui kuna chembechembe zilikuwepo zikaungana, still rudi nyuma ujiulize zilitoka wapi, hadi hiyo nature ujiulize ilitoka wapi. Ukipata jibu, njoo kifua mbele hapa ujitape kwamba wewe ni rijali unayeweza kuwapa ujauzito matasa!
Mshukuru Mungu kwa kila jambo usijibizane nao,polee maneno yanauna Muachie Mungu atapigana nao hakuna linaloshindikana hapa dunia ukiamini inawezekana tu na wakati ukifika utapata tu mtoto
Hata hivyo sikutegemea kupata jibu sahihi kutoka kwako, since I knew what kind of a person you must be.Ww hutatoa suluhu hapa..umebaki kubwabwaja tu...no solution..!!!
Bilashaka lady jay dee kapata mwenza.
Magonjwa ya zinaa yakijirudia mara nyingi kwa mwanamke eg syphilis, husababisha ugumba na miscarriage . Abortion pia ina waza kuwa source., hormonal inbalance pia. Nenda kwa Gwajima, atakupa mimba fasta.
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k
Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!
Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.
Queen Esther
Mungu hapigani vita visivo na kichwa wala mkia kwa mtu ambaye wala haitaji mtoto kwa
wakati huu kama alivosema.
FYI huyo dog hapo ndie alimtangaza kuw ndo mwanae.
Kuna kitu umekisema kwa ufundi mkubwaI second you.
Kwanz kama kweli angekua na tatizo asingesema huyu.
Few days back alisema bado mdogo.This is another kick I tell u.tena unaweza kuta she is prego contrary to what is writtem.Ni kama ana wajoke wahasimu wake.