Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana.But sina na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe.Is dat wat u want? Kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze.

Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto������.Kumbukeni na mimi pia ni binaadam.Nina moyo kama nyie.Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa.Mnaona nafurahia sio.Hivi mna nini jamani.

Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu.Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna hio.Kisa mtoto.Mnadhani naipenda hii hali.Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.

So mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die.Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua.Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu. I want dat with all my life but I cant.Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia.

But just dont rub it in.It hurts.And im jus a human being like each and everyone of u.������

Source: Instagram
 
Attachments

  • 1428780401511.jpg
    1428780401511.jpg
    100.2 KB · Views: 6,266
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k

Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!

Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

Queen Esther
 
Amen. Yesu ni Bwana! Haleluya!
 
Weee hakuna maombi hapoo...tokea lini mimba ikatungwa kwa maombi...!!? Alafu nyie watu mnaangamia kwa kukosa maarifa..eeehhh..!!

Wema ww njoo kwangu...ukifikia siku za kushika mimba ni PM....nakupiga mbuzi kagoma goli moja tu toto hilo kama Obama...!!!

Style nzuri ya kushika mimba ukiwa ktk siku za hatari ni deep penetration...mostly ya kichuma mboga/doggy style/mbuzi kagoma...hapo ndio utapata mimba...

Ila hata UKESHE NA MAOMBI HUPATI MIMBA NG'OOOOO....mimba hadi upate uume uingie ktk uchi wako...sijui maombi yantoka wapi...hata biologia haisemi uombe ukikosa mtoto, ni kusex at a right time...ebu acheni kupotosha....

wema endelea kumuamin MUNGU mmoja ambaye hana mshirika hajazaa wala kuzaliwa ni yeye peke ake endelea kumuomba yeye ipo sku maombi yatasikika na sio wewe tu yeyote yule mwenye tatzo kama lako,wengi waliomba kwa kufunga kipindi cha mitume na wakafanikiwa na si kuombewa na mchungaji kama wengine wanavyoshaur,utadanganywa bure wachungaji wenyew washirikina na wazinz utazaa mtoto kafanana na aliyekuombea a.k.a mchungaji.
 
Hajasema chanzo cha kutopata mtoto???

Hajawahi fanya sex...sasa atapataje...!!? Inatakiwa afanye sex kwa kutumia muda sahihi wa kutunga mimba...na atumie mlango wa uchi...sio nyuma au tigo....ukitumia tigo hupati mimba hata akiwa ktk siku za kushika mimba...haya ndio mambo ya kumwambia....sio kukopi bible huku alaahh...!!! Hata uweke biblia yote huku hawezi pata mimba....

Mimba lazima afanye sex muda mwafaka...na afanye deep sex...napendekeza abinuke sanaaa...apindeee mgongo, anyenyue makalio juuu, kifua chiniiiii, alafu afanyie deep penetration na mwanaume kama mm, kupitia uke na sio tigo...hapo dakika tu mimba tayari...

Haya ndio ya kumelimisha mwenzenu nyie..💏💑
 
Weee hakuna maombi hapoo...tokea lini mimba ikatungwa kwa maombi...!!? Alafu nyie watu mnaangamia kwa kukosa maarifa..eeehhh..!!

Wema ww njoo kwangu...ukifikia siku za kushika mimba ni PM....nakupiga mbuzi kagoma goli moja tu toto hilo kama Obama...!!!

Style nzuri ya kushika mimba ukiwa ktk siku za hatari ni deep penetration...mostly ya kichuma mboga/doggy style/mbuzi kagoma...hapo ndio utapata mimba...

Ila hata UKESHE NA MAOMBI HUPATI MIMBA NG'OOOOO....mimba hadi upate uume uingie ktk uchi wako...sijui maombi yantoka wapi...hata biologia haisemi uombe ukikosa mtoto, ni kusex at a right time...ebu acheni kupotosha....

Mungu kama alikupangia kuzaa watoto wawili af wewe umeshaua saba unamdai nini ss??? Hizo mbinu zako mkuu hazitafanya kazi....acheni umalaya na uuaji wa malaika wa Mungu.
 
"One thing about music, when you hit you feel no pain"

pole sana Wema usikate tamaa
 
Hizi ni dalili za kuanza kuchanganyikiwa.. tulishasema humu,. umri unaposogea mtalia tu.
 
Hivi kwnn mnamchanganya mwenzenu....!!?

Hivi hata akimuamini Mungu tuuu atazaa bila kufanya sex au kuwa na Mume...!!!?? Sasa hivi Wema hana mume...Diamond kamwacha...sasa ATAZAAJE..!!?

YEYE atafute mwanamme afanye nae doggy style siku za hatari atashika mimba....

Sijui kwnn watu wagumu sana kufundisha watu wenye shida...unakuta mtu ana tatizo..badala ya kulitatua kwa njia sahihi ndio unampotosha kabisa...eti afunge na kusaliii tuuu...eboo..sala inaleta mimba..!!?

Back
Top Bottom