Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Hivi kwnn mnamchanganya mwenzenu....!!?

Hivi hata akimuamini Mungu tuuu atazaa bila kufanya sex au kuwa na Mume...!!!?? Sasa hivi Wema hana mume...Diamond kamwacha...sasa ATAZAAJE..!!?

YEYE atafute mwanamme afanye nae doggy style siku za hatari atashika mimba....

Sijui kwnn watu wagumu sana kufundisha watu wenye shida...unakuta mtu ana tatizo..badala ya kulitatua kwa njia sahihi ndio unampotosha kabisa...eti afunge na kusaliii tuuu...eboo..sala inaleta mimba..!!?

We jamaa unaandika pumba sana, nafikiri ww ndie yule rais wa Tandale!
 
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k

Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!

Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

Queen Esther

ulokole bila na kuzaa na bila mume vinaendana aiseee!! au ndio ugwajima??
-na kushiriki sex bila kuwa nz mume/mke halali huo si UZINZI amri ya6. Hebu nieleweshe ewe mlokoke!!
 
Kwani mtu kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto ni big deal?
 
...sababu haswa ni kushusha sana injini au ndio kaumbwa hivyo?
 
Mungu kama alikupangia kuzaa watoto wawili af wewe umeshaua saba unamdai nini ss??? Hizo mbinu zako mkuu hazitafanya kazi....acheni umalaya na uuaji wa malaika wa Mungu.

khaaaa...acheni kuhukumu.....
 
Aende kwa wataalamu wa akina mama atapata mtoto dunia ya leo haishindikani.kuna jamaa yangu alimpeleka mkee wake nairobi hosp wamefanikiwa mtoto.
 
Mmh sidhani kama alitakiwa andika yote hayo angepiga kimya tu otherwise anataka attention..
 
Dada Wema pole.
Hata hivyo bado Mungu hajashindwa. Tafuta KANISA lolote la kilokole au ni PM nikuelekeze ukafanyiwe maombi. Mkumbuke Sarah mke wa Ibrahim alizaa akiwa amevuka menopause. Mkumbuke pia Hannah n.k

Haijalishi ulifanya nini ukitubu Mungu anasamehe. Aliyemsafi na akurushie jiwe!!!!!

Kutoka 23:25-26
Nanyi mtamtumikia Bwana, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

Queen Esther

Dah makanisa ya kilokole tena...kama hajaolewa na wachungaji na kuwa msukule ..
 
samahan dada,,,usisikilze ya wa2,,,cha mtu sumu wal bnadamu hawachok mdomo yao wakiona cha mwenzao na kusema,pengne yote hayo c ww pengne hao uliokuw nao ww hawakuwa na nguvu extra za wanaume kamil kma hutamynd kuna mchizi mmoja nguvu zake n kama za sausage pengine waweza kujarbu
 
Kula ujana weeee mwisho wa siku mayai unakaangia chips..!!

Usiongee hivyo. Hao uliowapata we shukuru Mungu. Wanaweza kufa kwa mafuriko na usizae tena! Acha kumkufuru Mungu aliyekupa watoto kwa maneno ya kashfa.
 
Back
Top Bottom