Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii.
 
Mm amenifurahisha sana maana hao tean wema walikua hawajambo kutukana na kutoa kasoro safi sana wema
Kuna huyo ana jiita carrymastory sijui yaan ananichefuaa na huyo mdada anatabia mbaya sana wema alivyoachaana na idriss yeye wakwanz kumtoa kasoro idrisa
Yaan hao team wema wamekomeshwa sana hahahahah
Ila wema anavyojua kubadlika anaweza ikatokea siku akakana hii kaul aliyoisema le hahah
 
Rusha basi hapa hiyo snpchart ishanishinda
Haaah[emoji28][emoji28]shost hatutofautiani hahaha sijui hata kitu we ingia instagram page ya baby_ake au lulu nation nadhan utamsikia bb dada kafunguka haswaaa tena na muna alikuwepo anamtuliza
Cha kushangaz n mma yake ana support haha
 
Mfa maji haishi kutapa tapa.
Alifikiri maisha ni kuoga,urembo, uzuri, kupaka poda, na kuvaa nguo za gharama [emoji23] [emoji23]
Kutongozwa sana na kubadili wanaume.
Ni vyema kama kapata washauri wenye
Busara.
 
Haaah[emoji28][emoji28]shost hatutofautiani hahaha sijui hata kitu we ingia instagram page ya baby_ake au lulu nation nadhan utamsikia bb dada kafunguka haswaaa tena na muna alikuwepo anamtuliza
Cha kushangaz n mma yake ana support haha
Ahahahahah nimeona nimecheka hatarii et hata hajui hao timu wema walitokeaga wapi hajui origin yao ,aiseee kajua kunikomeshea mbwa haya kwa hiyo na mrembo by nature katoswa
 
Ahahahahah nimeona nimecheka hatarii et hata hajui hao timu wema walitokeaga wapi hajui origin yao ,aiseee kajua kunikomeshea mbwa haya kwa hiyo na mrembo by nature katoswa
Hahahahah mrembo by nature alivyokua anamtetea wema haàhahaha umenichekesha hahaha naona amepoa sana sikuhz hata simsikii itakua alishajitoa zaman toka alivyo wakana mara y kwanza hahah wema kwel kiboko
 
Anatumia bint maguful,wema kajua kunikomesheaaa watu aisee ,,,yaan n kumpost wema tu aisee leo nalala vizuri
 
Anatumia bint maguful,wema kajua kunikomesheaaa watu aisee ,,,yaan n kumpost wema tu aisee leo nalala vizuri
Hahaah hata mm leo nitapata usngizi mzito hahah halafu kuna hyo anajiita carrymastory ni shoga yake wema na anaitw upendo huyo dada nahisi,nayeye amekomeshwa sana maana anajifanyaga anajua kutukana watu insta kis wema
Hehee maskin james delicious haah hadi akafunga safari mpk Tanga hahaa leo habar wanayo wapi mangeta kimambiii,wapu Tv1 weekend gossip maana wao n team wema hasa kale ka mimi mars sijui kandugu kake vanesa haha wapii matikibokoyaooo haahaha
Chaliiiiii
 
Mi walikuaga wananiudhi unampendaje hivyo mtu loo ,walikua kama wajinga,kuanzia kesho utaona watakavyo anza kumtukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…