brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Msongo wa mawazo pia unachangia, wahuni wamemfunua funua chupi alafu kumuacha solemba na mwishowe wanavyo mcheka ndio kabisaaa kama alichomfanyia Tid mnyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahhaha na kesho wataamka naye hahahaha watamtafutia page fake wampe vidnge vyake haäaha nahis wema huwa anakunyw sana pombe sio mzima kbsaMi walikuaga wananiudhi unampendaje hivyo mtu loo ,walikua kama wajinga,kuanzia kesho utaona watakavyo anza kumtukana
Jamani mbona hamumzomei dogomasta?? Huyu ndio atatani kujinyonga kama mpaka sasa badoMi walikuaga wananiudhi unampendaje hivyo mtu loo ,walikua kama wajinga,kuanzia kesho utaona watakavyo anza kumtukana
hana lolote huyo wema ndo mnafiki namba moja!Wah umewakomesha mbwa hao kabisa, sijui huko walipo watakua wanajisikiaje masikini, sio kwa vichambo ulivyowapa, wapi akina Matty kibokoyao kama nawaona vile, aaaaahha
Hivi mama wema hana kazi za kufanya?!!Haaah[emoji28][emoji28]shost hatutofautiani hahaha sijui hata kitu we ingia instagram page ya baby_ake au lulu nation nadhan utamsikia bb dada kafunguka haswaaa tena na muna alikuwepo anamtuliza
Cha kushangaz n mma yake ana support haha
UchocheziMbona timu zipo nyingi?Kwani si wajiite team Watford[emoji23] [emoji23]
Kamuambia warumiKasema wapi huko nikaone
Ameanza kujitambua! Shetani akizeeka anakuwa malaikaNaona ameanza kukua
Yeye ndio alianzisha,ameona haimlipi lakini ndio hivyo tena imeshatoka hiyo,Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii.
[emoji28][emoji28][emoji28] na ye ni celebrity so anautumoa vizur u celebrity[emoji28][emoji28][emoji28]huy mama sijui enzi za ujana wake zilikuaje jamaniiHivi mama wema hana kazi za kufanya?!!
hana lolote huyo wema ndo mnafiki namba moja!
tatizo la wema ni short temper kitu kidogo kashapanik anaropoka hakai kuwaza
Leo ndo anaona team wema wabaya..
Aseme ameishiwa kiki sasa hivi!!
Kila kitu kina mwanzo na mwisho!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
daaaaaaaaaa wazee wa kichapoMbona timu zipo nyingi?Kwani si wajiite team Watford[emoji23] [emoji23]
Ni Isaac au Abraham?Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii.
ndo maana yule baba alikua na mke mwingine anataia aibu kwa kweli[emoji28][emoji28][emoji28] na ye ni celebrity so anautumoa vizur u celebrity[emoji28][emoji28][emoji28]huy mama sijui enzi za ujana wake zilikuaje jamanii
hhhahhahhahha mkuu ningekukosa kwenye mzoga huu bas ujue haufai uko poa lakin?
Team PogbaMbona timu zipo nyingi?Kwani si wajiite team Watford[emoji23] [emoji23]
Nasikia mond unataka kurudisha majesh kwa mama ubaya maana na yy usawa unakaba kila ngoma akiachia bokondo maana yule baba alikua na mke mwingine anataia aibu kwa kweli
daahh!aisee Mungu nilinde Mimi nisiwe hvyoo!!
Niko poa wangu!
Wema kashafulia tayar hana maajabu wala nini!
Kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho na km kuna kosa wema alifanya ni kumvulia chupi Idriss yaani pale ndo kajiharibia
Katoto ka 92 kametoka sijui big brother siju alihisa ataolewa
Mwenzie alikua anasafira nyota kashapata umaarufu wema atafute danga lingine
Kama atapata maana usawa ushakaba huu!
ndo maana yule baba alikua na mke mwingine anataia aibu kwa kweli
daahh!aisee Mungu nilinde Mimi nisiwe hvyoo!!
Niko poa wangu!
Wema kashafulia tayar hana maajabu wala nini!
Kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho na km kuna kosa wema alifanya ni kumvulia chupi Idriss yaani pale ndo kajiharibia
Katoto ka 92 kametoka sijui big brother siju alihisa ataolewa
Mwenzie alikua anasafira nyota kashapata umaarufu wema atafute danga lingine
Kama atapata maana usawa ushakaba huu!