Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Hizo team zimechangia kwa kiasi kikubwa sana kumvurugia maisha na kumpa sifa mbaya ya kutukana watu mitandaoni. Ana jina kubwa sana lakini ameshindwa kulitumia kupata maendeleo. Alitakiwa awe anatembea na mamiss wenzie waliomtangulia na waliomfuata this time of the year tungekuwa tunamuongea vizuri kama Nancy sumari au mke wa mengi sema ndio kakumbuka vuta shuka kushakucha
 
Mm amenifurahisha sana maana hao tean wema walikua hawajambo kutukana na kutoa kasoro safi sana wema
Kuna huyo ana jiita carrymastory sijui yaan ananichefuaa na huyo mdada anatabia mbaya sana wema alivyoachaana na idriss yeye wakwanz kumtoa kasoro idrisa
Yaan hao team wema wamekomeshwa sana hahahahah
Ila wema anavyojua kubadlika anaweza ikatokea siku akakana hii kaul aliyoisema le hahah
Huyo dada kaniblock kisa wema. kaingia insta tunamuona na followers wake kumi ila baada ya kuanza kumponda Mondi nazari kila siku kajipatia mazombi kibao kutoka team wema. Sasahivi itabidi atafute biashara ingine ya kufanya mana bosi wake ndo kashajitoa
 
Wema ukipita kwenye huu Uzi lazima lazima tako lako la kushoto lidrop down si kwa kichambo hiki!!![emoji23] [emoji23] [emoji80] [emoji80] [emoji15]
 
Back
Top Bottom