Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Imagine hela za campaign alizimalizia kwenye birthday party na lile range ambalo TRA walilichukua. Yeye akipata full kutumia haiweki izalishe sasa maisha yakiwa magumu ataacha kutafta wa kumlaumu. Enzi hizi za magufuli mianya ilivozibwa wengi watachanganyikiwa aisee Dada hajui kutumia jina kumake money hata kwenye mambo ya kijamii ka charity hayupo. Hata kupata mwanaume wa maana ngumu MTU ukisha date na dai sijui huwatia nuksi gani, wema Mara kina idriss na alivo na matusi walah atachqnganyikiwa.
Tatizo ninadhani ni malezi na shule ndogo, tena huko kwenye mifuko ya jamii ndiyo kwa kujenga jina na fursa, huoni lile group la town ladies lilivyotumia fursa.
 
Mange kamwambia ukweli sifa ya star ni mashabiki bila hao unapotea na kusahaulika, wema umri unamtupa na mvuto pia madanga awamu hii hamna ana panic anatafta wa kumshushia lawama. Ujinga wake alikua star lakini hakuutumia kumake money. Naona atawaomba msamaha hata zari vile vichambo vya timu wema vilimfanya ajulikane fasta na mimba ya tiffah kupata kiki, ndo maana sasa hivi hachabwi kapoa inaonekana kawaida. Hao timu wema ndo wanaomuweka mjini nao wampotezee mazima ili akome, papuchi yake imetumiwa sana làkini hata pakukaa hana.
Hana kiki!

Hana chochote sasa hivi!

drama zote kuleee!!

Wanakuja warembo wazuri kushinda yy!

Wabichiii!!

Ishakula kwake atulize kipago

Haoni wenzie kina wolpa,anti na zaria wametafuta dogodogo wanawalea

Maana kwa wazee wenzao washachuja!!
 
Tunda atakuwa na maadui wengi sana mjini.
 
Hana kiki!

Hana chochote sasa hivi!

drama zote kuleee!!

Wanakuja warembo wazuri kushinda yy!

Wabichiii!!

Ishakula kwake atulize kipago

Haoni wenzie kina wolpa,anti na zaria wametafuta dogodogo wanawalea

Maana kwa wazee wenzao washachuja!!
Mashoga zake wamekosa soko tena aunty ikabidi yaishe azae na mkata viuno, wolper ndo usiseme hali ilivo ngumu kakubali kumvulia picha harmonize aibu tupu na hapo hamna maloveee ila hana namna. Tatizo wasanii wetu wanajiweka cheap they don't care about the future, kuchuja wao ni kukitembeza mbona mastar ka wa nollywood hujituliza na wamepata waume wa maana na wanafamilia. Liwe fundisho kwa wote klnn ni mjanja sasa hawa wenzangu na mie kuhangaika na viserengeti boy visivo na future vinavowatumia kupatia umaarufu.
 
Bongo movie hailipi ki-vile na wao wanataka waishi kama mastar wa Hollywood, kuendesha Range, kuishi Masaki US$2000 kwa mwezi. Jamani mjini majanga. Jamani mcongoman wa Wolper aliishia wapi, huyu wa pili.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Tatizo ninadhani ni malezi na shule ndogo, tena huko kwenye mifuko ya jamii ndiyo kwa kujenga jina na fursa, huoni lile group la town ladies lilivyotumia fursa.
Wema alikimbia shule baada ya kupata umiss alipelekwa had malaysia akagoma ndugu zake wake vzuri tu. Sasa mashavu yanamshuka ana panic hafu mama naona hu support huo upuuzi na yeye yuko kwenye timu wema. Hao kina klin sijui Nancy sio kwamba hawana makando walikuwa na kiasi sasa mwenzangu na mie, wema angekuwa na akili angefika mbali plus elimu.
 
Mashoga zake wamekosa soko tena aunty ikabidi yaishe azae na mkata viuno, wolper ndo usiseme hali ilivo ngumu kakubali kumvulia picha harmonize aibu tupu na hapo hamna maloveee ila hana namna. Tatizo wasanii wetu wanajiweka cheap they don't care about the future, kuchuja wao ni kukitembeza mbona mastar ka wa nollywood hujituliza na wamepata waume wa maana na wanafamilia. Liwe fundisho kwa wote klnn ni mjanja sasa hawa wenzangu na mie kuhangaika na viserengeti boy visivo na future vinavowatumia kupatia umaarufu.
Ishakula kwake!Hawa mastaa hawajui kua uzuri unachuja!

Zari ujanja wote kaja kuzaa na mwanawe!

Aunty Mcheza dansi.

Wolpa ndo kituko kitupu!

Wema yuko desperate sasa hivi

Kila kitu kiko hovyo tu!
 
Napenda mziki mzuri..halafu sasa hivi sifatilii mziki kiviile!

Mie nasikilizaga nyimbo za zamani kidogo

Team njaa hizi!
Au kuchochea moto sina mda mchafu!..

Ila ukiingia nakupa zako!
Gud gelo

Aaah nimekuona leo mbona!!

Umeporomisha vipande pale [emoji23] [emoji23] hatarii
 
Mtu mpaka anachora tattoo ya wemasepetu halafu mwanamke. Anaacha kuchora ya mama yake mzazi. Hlf leo ndo kukanwa live [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inauma lkn [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wapuuzi wale uchore tatoo kijinga jinga tu!

Wanajidai eti hata km wao watampenda tu!
 
Ishakula kwake!Hawa mastaa hawajui kua uzuri unachuja!

Zari ujanja wote kaja kuzaa na mwanawe!

Aunty Mcheza dansi.

Wolpa ndo kituko kitupu!

Wema yuko desperate sasa hivi

Kila kitu kiko hovyo tu!
Raha ya mbio ni kumalizia finali uzeeni,sasa zari kutaka umaarufu kuna msumbua naye alianza kwa kina chamelrone, psquare inaonyesha wanaijeria hawatoi kiki kizembee, mweeh wale wanawe wakikaa na dai wanaligandana urefu aisee kazi anayo ajiandae kwa stress, dai hawezi kuwaona kina hamisa wakikatiza awaache.
Huyo wolper mchaga asiyejitambua ngoja harmonize apate umaarufu vzuri atamu dampu ka diamond na wema hapo ndo atakuwa ka chizi
 
Exactly bimkubwa kala ujana sasa hivi zamu ya kijana mondi bin ladein kula ujana

Muache abebe mimba hizoo!!

Baba ale kwanza gudtime!

Wema nae akajibebesha idriss akajua ataolewa

Mwenzie huo umaarufu hajaenjoi nao hata xmass tatu hapa mjini!

Kapigwa chini!
 
Back
Top Bottom