Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Mi walikuaga wananiudhi unampendaje hivyo mtu loo ,walikua kama wajinga,kuanzia kesho utaona watakavyo anza kumtukana
Jamani mbona hamumzomei dogomasta?? Huyu ndio atatani kujinyonga kama mpaka sasa bado
 
Wah umewakomesha mbwa hao kabisa, sijui huko walipo watakua wanajisikiaje masikini, sio kwa vichambo ulivyowapa, wapi akina Matty kibokoyao kama nawaona vile, aaaaahha
hana lolote huyo wema ndo mnafiki namba moja!

tatizo la wema ni short temper kitu kidogo kashapanik anaropoka hakai kuwaza

Leo ndo anaona team wema wabaya..

Aseme ameishiwa kiki sasa hivi!!

Kila kitu kina mwanzo na mwisho!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Wema ni kama ameishiwa pumzi,team yake ya kupambana na kumvuruga Diamond na Zarina imeshindwa kazi
Kama mmiliki wa timu inayofungwa na kutia hasara,Bi Siwema kwa hasira kavunja timu!
Hata ningekuwa mie ninge wasambaratisha tu,nimekupeni kazi ya kumbomoa mtu,jitu ndio kwanza kila siku linafanikiwa
 
Yeye ndio alianzisha,ameona haimlipi lakini ndio hivyo tena imeshatoka hiyo,
 



hhhahhahhahha mkuu ningekukosa kwenye mzoga huu bas ujue haufai uko poa lakin?
 
Ni Isaac au Abraham?
 
[emoji28][emoji28][emoji28] na ye ni celebrity so anautumoa vizur u celebrity[emoji28][emoji28][emoji28]huy mama sijui enzi za ujana wake zilikuaje jamanii
ndo maana yule baba alikua na mke mwingine anataia aibu kwa kweli

daahh!aisee Mungu nilinde Mimi nisiwe hvyoo!!
hhhahhahhahha mkuu ningekukosa kwenye mzoga huu bas ujue haufai uko poa lakin?

Niko poa wangu!

Wema kashafulia tayar hana maajabu wala nini!

Kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho na km kuna kosa wema alifanya ni kumvulia chupi Idriss yaani pale ndo kajiharibia

Katoto ka 92 kametoka sijui big brother siju alihisa ataolewa

Mwenzie alikua anasafira nyota kashapata umaarufu wema atafute danga lingine

Kama atapata maana usawa ushakaba huu!
 
Nasikia mond unataka kurudisha majesh kwa mama ubaya maana na yy usawa unakaba kila ngoma akiachia boko
 


kwa sasa hana jipya kishaanza kuhangaika hizo timu alionywa toka muda zinamuharibia hazikuwa na manufaa zaid ya kumharibia hapo ktk hizo timu unaweza kukuta hakuna hata mmoja anaetumia product zake akibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…