Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tatizo ninadhani ni malezi na shule ndogo, tena huko kwenye mifuko ya jamii ndiyo kwa kujenga jina na fursa, huoni lile group la town ladies lilivyotumia fursa.Imagine hela za campaign alizimalizia kwenye birthday party na lile range ambalo TRA walilichukua. Yeye akipata full kutumia haiweki izalishe sasa maisha yakiwa magumu ataacha kutafta wa kumlaumu. Enzi hizi za magufuli mianya ilivozibwa wengi watachanganyikiwa aisee Dada hajui kutumia jina kumake money hata kwenye mambo ya kijamii ka charity hayupo. Hata kupata mwanaume wa maana ngumu MTU ukisha date na dai sijui huwatia nuksi gani, wema Mara kina idriss na alivo na matusi walah atachqnganyikiwa.