kuna thread imeanzishwa ipo hyo clipNitumie mbea mi nisikie
Angalia post zake utajua [emoji1]Mmh mbona huwa anamtukana kua ana matege
Huyo dada kaniblock kisa wema. kaingia insta tunamuona na followers wake kumi ila baada ya kuanza kumponda Mondi nazari kila siku kajipatia mazombi kibao kutoka team wema. Sasahivi itabidi atafute biashara ingine ya kufanya mana bosi wake ndo kashajitoaMm amenifurahisha sana maana hao tean wema walikua hawajambo kutukana na kutoa kasoro safi sana wema
Kuna huyo ana jiita carrymastory sijui yaan ananichefuaa na huyo mdada anatabia mbaya sana wema alivyoachaana na idriss yeye wakwanz kumtoa kasoro idrisa
Yaan hao team wema wamekomeshwa sana hahahahah
Ila wema anavyojua kubadlika anaweza ikatokea siku akakana hii kaul aliyoisema le hahah
Naskia huwa n mjumbe wa mtaa hpo sinza moriHivi mama wema hana kazi za kufanya?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naskia huwa n mjumbe wa mtaa hpo sinza mori
Kuna best yangu anakaa jirani yao ndio aliniambia.anadai maza anaweza kutukana kwa speed ya 4G bila kupumzika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama huyo ndo mjumbe wao,hao wakazi wa huko wote vichaaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule mama hana stara hata kidogo!Kuna best yangu anakaa jirani yao ndio aliniambia.anadai maza anaweza kutukana kwa speed ya 4G bila kupumzika
[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]duhNasikia wema yuko na vibaya na soon ataumbuka sasa sijui ndio mambo kama ya rayc