Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Unachokosea hua huweki namba ya simu.Hajawahi kuwa na impact yoyote kwa CCM wala hawamuhitaji hivyo aache kuropoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokosea hua huweki namba ya simu.Hajawahi kuwa na impact yoyote kwa CCM wala hawamuhitaji hivyo aache kuropoka.
Wema ni nani?!
Na hivi ccm kinahitaji wacheza vigodoro kama kina wema?!!!.
Wema ni nani?!
Na hivi ccm kinahitaji wacheza vigodoro kama kina wema?!!!. Dah nitashangaa sana .....asitafute kiki huyo chakula ya wapenda ngono!!!
Kazi kweli kweliKipindi cha kampeni 2015 alisema hivi, " nikihamia chama kingine tofauti na CCM hata kaburi la baba yangu litatitia" haaminiki huyu nashangaa chadema kwanini walimpokea
Angedanganya mengine lkn sio maswala ya kaburi mara fyokofyokoKazi kweli kweli
Hapo alikosea Kwa kweli, Bora angesema vingine kabisaAngedanganya mengine lkn sio maswala ya kaburi mara fyokofyoko
Alivyo zumbukuku akahama sasa sijui kaburi likoje??? Huyu mwanamke ni mpumbavu sanaHapo alikosea Kwa kweli, Bora angesema vingine kabisa
Kila Jambo anafanya maigizo. Kaamua na maisha yakeAlivyo zumbukuku akahama sasa sijui kaburi likoje??? Huyu mwanamke ni mpumbavu sana
Jinga sana wacha tumtizame tuone mwisho wakeKila Jambo anafanya maigizo. Kaamua na maisha yake
Ndio kilichobaki hichoJinga sana wacha tumtizame tuone mwisho wake
Wehu wenzie watampa kura........wema hata agombee chama kisichojulikana siwezi kumpigia kuraMwaka 2020 Wema anagombea jimbo la ILALA
Punguza jazbaAlivyo zumbukuku akahama sasa sijui kaburi likoje??? Huyu mwanamke ni mpumbavu sana