Wema Sepetu: Sitarudi CCM

Ngoja kesi ya bange ihishee ndipo utajua. Kama ni CCM au CHADEMA
 
Kipindi cha kampeni 2015 alisema hivi, " nikihamia chama kingine tofauti na CCM hata kaburi la baba yangu litatitia" haaminiki huyu nashangaa chadema kwanini walimpokea
 
Wema ni nani?!

Na hivi ccm kinahitaji wacheza vigodoro kama kina wema?!!!. Dah nitashangaa sana .....asitafute kiki huyo chakula ya wapenda ngono!!!

Sawa mama msalimie Grace Mugabe maana yeye hapendi ngono na ndio maana hapendwi na mkulu
 
Kipindi cha kampeni 2015 alisema hivi, " nikihamia chama kingine tofauti na CCM hata kaburi la baba yangu litatitia" haaminiki huyu nashangaa chadema kwanini walimpokea
Kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…