warumi. Umenichekesha et naenda kulipua bunge zima!... Kwenye interview za yy na zamaradi ngachoka mie!. Demu anaonyesha ni jinsi gan anaweweseka na penzi la dangote, ooh mara nilimpenda sana mara nilitaka nimzalie mtoto! Dah anatia huruma sio siri.
Ila Zari white party Mzuri jamani mweehe
warumi. Umenichekesha et naenda kulipua bunge zima!... Kwenye interview za yy na zamaradi ngachoka mie!. Demu anaonyesha ni jinsi gan anaweweseka na penzi la dangote, ooh mara nilimpenda sana mara nilitaka nimzalie mtoto! Dah anatia huruma sio siri.
Huyo ni prince, hakunaga king anaekaa kwa mama akeHahaaaa kumbe Ali kiba ndo prince
Inawezekana ikawa kweli Ali kiba akaomba sapoti ya wema na jokate sababu hata instagram wema anafollowers 700,000's,jokate ana 500,000's wakati msanii chipukizi Ali kiba ana 300,000's.
Kwa hali hiyo jokate na wema ni mastaa na wana umaarufu kuliko kiba
hadi hapo anajipendekeza tu,kumtajataja mtu asiye na time na wewe
Hivi ukiulizwa swali si unajibu? Wiki ilopita media zilimuuliza Mara nyingi sana atoe tamko kuhusu MTV votes na kupigiwa kura kwa diamond. Alichofanya ni kujibu alichoulizwa tu. Bubu akikaa kimya anaonekana kwa vile hana uwezo Wa kuongea sasa Leo bubu ameongea still anaonekana mbaya. Binadam hawana jema. Alafu huyu mnaemponda kila siku mbona hakauki vinywani mwenu??
sio lazima kujibu kila swali unaloulizwa bi mdogo!Hivi ukiulizwa swali si unajibu? Wiki ilopita media zilimuuliza Mara nyingi sana atoe tamko kuhusu MTV votes na kupigiwa kura kwa diamond. Alichofanya ni kujibu alichoulizwa tu. Bubu akikaa kimya anaonekana kwa vile hana uwezo Wa kuongea sasa Leo bubu ameongea still anaonekana mbaya. Binadam hawana jema. Alafu huyu mnaemponda kila siku mbona hakauki vinywani mwenu??
sio lazima kujibu kila swali unaloulizwa bi mdogo!
Mbona interview za elite people/watu wanaojielewa sana unakuta mtu anasema wazi kabisa kwamba siwezi kuongelea hilo?
Hapo bi mdogo umenoa aisee. Kama aliona ana deserve privacy rights, hakika angekataa kata kata kuzungumzia suala la diamond na kitu chochote chenye kutaja jina 'diamond' ama kumhusanisha diamond ndani yake!
Kiufupi ange declare kumpiga ban dangote all over her life.
Unless otherwise, yeye na fans wake wote 'wanajipempele' kwa chibu-!
Jibu rahisi..."sipo tayari kumzungumzia naseeb" baaaas akiendelea kujibu kila anapoulizwa atamtaja hadi uzeeniSasa kama ameulizwa je? Kwani alisimama ubungo mataa na kuanza kumtaja au aliomba kipindi TBC cha kumtaja tu? Aliulizwa sio Mara moja au mbili ndio maana alijibu. Jiwekeni kwenye viatu vyake ndipo useme ni kujipendekeza au lah.
Jibu rahisi..."sipo tayari kumzungumzia naseeb" baaaas akiendelea kujibu kila anapoulizwa atamtaja hadi uzeeni
sasa kama hataki kwanini aendelee kuzungumza?Kumbuka ni elites hao hao wana propound for man's freedom. wema ana uhuru wa kuchagua kujibu au kutojibu. amechagua kujibu...what's wrong with that?? where is our rationality as humans??